Baraza la Ardhi la wilaya ya Ubungo, ofisi zao ziko sehemu gani?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo.

Zipo sehemu gani?
 
Habari wadau.

Naomba msaada wa kuelekezwa zilipo ofisi za baraza la ardhi wilaya ya ubungo zilipo.

Zipo sehemu gani ?
Makao makuu ya manispaa nenda pale Luguruni unaingia left as you are from Mbezi louis
 
Manispaa ya ubungo napajua.

Je, baraza la ardhi la wilaya ofisi yao ipo hapo hapo manispaa. Namaanisha wale wazee Wanaofanya majukumu kama mahakama ya kesi za ardhi.

Swali langu Sijamaanisha natafuta ofisi ya afisa ardhi wa manispaa wanahusika na upimaji na urasimishaji
 
Manispaa ya ubungo napajua.

Je baraza la ardhi la wilaya ofisi yao ipo hapo hapo manispaa. Namaanisha wale wazee Wanaofanya majukumu kama mahakama ya kesi za ardhi.

Swali langu Sijamaanisha natafuta ofisi ya afisa ardhi wa manispaa wanahusika na upimaji na urasimishaji
Baraza linaanzia kwenye kata,nenda ofis ya kata yako
 
Kata nimeshaenda. Nimeambiwa niende la wilaya. Maana kuna viwango vya value ya ardhi vimewekwa.

Kuna vya kesi kwenda baraza la ardhi kata, kuna vya kesi kwenda baraza la ardhi la wilaya, na kuna vya kesi kwenda mahakama kuu
 
Unabisha Bure,nenda wilayani,ofc za Baraza zipo huko
 
Nenda luguruni pale utapewa appointment maana kuna kesi nyingi mnoo ila naamini ofisi ni sikivu itashughulikia swala lako.

Kadinali Wambura.
 
Back
Top Bottom