Baraza la Aridhi wilaya ya Same ni bomu,litazamwe na Takukuru ila sio Takukuru Same limeoza linanuka RUSHWA.

Baraza la Aridhi wilaya ya Same ni bomu,litazamwe na Takukuru ila sio Takukuru Same limeoza linanuka RUSHWA.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Kwa kweli Sina chuki na Mwenyekiti wa baraza la Aridhi wilaya ya same na Sina chuki na yule Binti hakimu

Ila nmesikitihwa na kitendo cha kuwa wanaairisha nashauri zaidi ya mara Tano paspo kuwa na sababu ya msingi

Mfano Kuna shauri Moja washitakiwa ni Mmoja na Taasisi mbili anae shitaki Taasisi hizo mbili na yule mtu Mmoja kesi imepgwa karenda zaidi ya mara kumi kisa mshairakiwa no Moja haufiki mahakamani na Ili Hali yule mshitakiwa no Mmoja aliwai shikwa na mleta mashitaka na kumsweka ndani kituo Cha polisi same, na alivyodhaminiwa mleta mashitaka anajua

Maana alinulishwa dhidi ya DHAMANA na baaq ya DHAMANA Ile mshitakiwa no Moja ameingia mitiji,

Hakimu na wenzake baada ya kuarisha shauri mara kibao Sasa wanasema watasikiliza kesi hiyo pande mbili

Haya umefika wakati wa kupitia utetezi ulio wasirishwa na pandewashitakiwa wawili Eti baraza la Aridhi kupitia huyo hakimu wao wanapitia utetezi ule na kubaini yakuwa IMEANDIKWA kwa lugha ya kingereza na wanaamua kuarisha shauri kwa kuwataka washitakiwa wawili wawasilishe utetezi ule kwa lugha ya kiswahili hapa hakuna RUSHWA?

Kuna changamoto kubwa mkoa wa kilimanjaro wilaya ya same, mahakamni na kwenye mabaraza ya Aridhi, OFISI A takukuru wilaya kwakweli Hali ni mbaya mbaya mbaya sana serikali tunawatakia Ili nalo mkalitizame.
 
Back
Top Bottom