SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Nimepata mwaliko lakini siwezi kuhudhuria kwasababu za kidini na suna Mtume Muddy.Baraza kuu la Idd litafanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Nyerere Convention Centre, Posta. Kuanzia Saa 8 mchana.
Eid Mubarak.
Wapi hiyo?Leo ni Pilau na Beer.
Kabuhima Runzewe.Wapi hiyo?