nyamchele
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 1,325
- 1,034
Baraza la Famasi limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu.
Watahiniwa hao sasa watalazimika kurudia mtihani hiyo mwezi July 2024. Barua kutoka Baraza la Famasi imeambatanishwa kwa urahisi wa rejea.
Hatua hii imefikiwa ili kuhakikisha kuwa na wanataaluma wenye sifa na weledi katika viwango vilivyowekwa kabla ya kusajiliwa na kutoa huduma za dawa ili kulinda afya na usalama wawagonjwa wanaowahudumia.