NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Kwa hiyo unaweza pigwa miti hadharani ?!!!Acha wivu wewe,waacha wafanye watakacho sisi ni binadamu huru
Kwa hiyo unaweza pigwa miti hadharaniAcha wivu wewe,waacha wafanye watakacho sisi ni binadamu huru
Mmeshindwa kumkamata na kumchapa kama wale wanaokula mchana kule kisiwani?una maudhui ya kipumbavu nimeyaona kijana mmoja (jina kapuni) " ilipigwa adhana ya kufungulia badala ya kufuturu alimuita mke wake akamwambia twende kwanza nikakufuturu wewe (fanya sex) ndiyo nitakuja kufuturu tambi"
Hizo video nenda TikTok utaona mkuuBila hizo vidio, haya ni majungu tupu
Halafu huwa naambiwa, watu wasio swala tano ni watu wenye hasira sana kuhusu uislamu na ndio wengi huwa magaidi kulikoni wenye swala tano na wanaoujua vizuri Uisilamu
Hongera kwa waislamu safi, (Swala 5)
Kwa sababu ni mimi na ni mwili wangu, hilo linawezekanaKwa hiyo unaweza pigwa miti hadharani
Ukamate mtu vipi mkuuuMmeshindwa kumkamata na kumchapa kama wale wanaokula mchana kule kisiwani?
Tamka na elimu ni muhimu sana inawezekana Huyo anayekutania Hana alijualoUkitaniwa ukipiga ukelele anaekutania atazidi kukutania.... Ukipuuza yanaishia hewani
Sasa amua kuachia ukelele ili uzidi kutaniwa sababu ukiuchukia utani maana yake utani huo unakaribiana na ukweli
Kuna ujinga mwingi sanaUjinga ni kwingi, sema zimebaki siku 10
Wanajua ndio maana wanafanya utani... Wewe sema hawana hofu uliyonayo wewe juu ya hiyo imaniTamka na elimu ni muhimu sana inawezekana Huyo anayekutania Hana alijualo
Kobaz mbona umekasirika hujui utan kwaniKuna ujinga mwingi sana
mdoli mambo vipi?Mmeshindwa kumkamata na kumchapa kama wale wanaokula mchana kule kisiwani?