Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TEC wamenyooka sanaBaraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara ya kukosekana kwa uchaguzi huru kunasababisha madhara makubwa.
Hayo yameelezwa na Rais TEC Askofu Wolfgang Pisa OFMCap alipokutana na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 15.2024, jijini Dar es Salaam ambapo ameelza kuwa kwa muda mrefu hapa nchi watu wengi wamekuwa wakilalamikia michakato ya chaguzi mbalimbaliKuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 TEC imesema wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo ikiwa ni pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura ikifuatiwa na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi wagombea wa vyama vya upinzani nchini.
"Jambo hilo limetia doa kubwa sana Taifa letu na hata pale kiongozi mwenye dhamana (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI) alipoamua kutoa muda zaidi wa kukata rufaa bado haikuondoa doa hilo kwa uchaguzi wa mwaka huu, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.2024" -TEC.
Aidha, TEC imesisitiza kuwa uchaguzi pekee unaoheshimika ni ule unaoendeshwa kwa misingi ya uhuru, haki, uwazi ambao haupendelei upande wowote, uchaguzi unaoheshimu ukuu wa mamlaka ya wananchi juu ya viongozi wao wanaopatikana kwa njia ya kura.
Imetumia nafasi hiyo kutoa msisitizo kwa OR-TAMISEMI kuwa inapaswa kufahamu jukumu kubwa ililonalo la kuhakikisha zoezi zima la upigaji kura linafuata misingi ya demokrasia, na kwamba wale walioshinda kihalali ndio wanaopaswa kutangazwa kuwa viongozi halali wa maeneo husika.
"Tunasisitiza tena kwamba lazima wasimamie uchaguzi kwa misingi ya haki, wasipendelee chama chochote kwa namna yoyote ile, ukiukwaji wa matakwa ya wananchi hupelekea kuwa na viongozi wasio chaguo la watu, kiongozi anayepatikana kwa mabavu, kwa uongo, kwa kutangazwa bila kupata kura nyingi husababisha kutokuaminika na kukiukwa kwa misingi ya demokrasia" -TEC.
Pia, TEC imesema nguvu inapotumika kwenye misingi ya kidemokrasia na ulaghai katika michakato ya kutafuta viongozi ni lazima matokeo yake ionekane kiongozi huyo anatumia nguvu na ulaghai katika kuwaongoza watu katika kipindi chake chote cha uongozi jambo ambalo halikubaliki.
Ebu tupe mfano hata mmoja tuWangekua ni waislam wameongea unge comment nnww na wengi wengine ??? Hapa ingekua ni matusi tu na kauli za dharau na kuwambia waislm wana mix dini na siasa, hii inchi hii jmn, anye tu kuku, akinya bata.....
Unaridhika na mwenendo wa chaguzi zetu hivi karibuni?Wangekua ni waislam wameongea unge comment nnww na wengi wengine ??? Hapa ingekua ni matusi tu na kauli za dharau na kuwambia waislm wana mix dini na siasa, hii inchi hii jmn, anye tu kuku, akinya bata.....
Mashehe nawaaminia sana na hata baadhi yao walishasema Taifa ambalo kiongozi wake ni mwanamke halitafanya chochote cha maana.Na kweli mambo ni ya hovyo ktk nchi.Bakwata wanasemaje? Mimi shehe wangu shehe Ponda
Mshamba tu huyo''Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya mauwaji.''
Kwahivi kwanini asitukanwe?
Ujumbe mzuri ila Baraza la Maaskofu Tanzania wanastahili kusimamia hapo hapo kwenye ukweli.Tuliona kipindi cha Magufuri Baraza lilimbeba sana katika maovu mengi jambo ambalo kimsingi halikubaliki.Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara ya kukosekana kwa uchaguzi huru kunasababisha madhara makubwa.
Hayo yameelezwa na Rais TEC Askofu Wolfgang Pisa OFMCap alipokutana na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 15.2024, jijini Dar es Salaam ambapo ameelza kuwa kwa muda mrefu hapa nchi watu wengi wamekuwa wakilalamikia michakato ya chaguzi mbalimbaliKuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 TEC imesema wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo ikiwa ni pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura ikifuatiwa na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi wagombea wa vyama vya upinzani nchini.
"Jambo hilo limetia doa kubwa sana Taifa letu na hata pale kiongozi mwenye dhamana (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI) alipoamua kutoa muda zaidi wa kukata rufaa bado haikuondoa doa hilo kwa uchaguzi wa mwaka huu, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.2024" -TEC.
Aidha, TEC imesisitiza kuwa uchaguzi pekee unaoheshimika ni ule unaoendeshwa kwa misingi ya uhuru, haki, uwazi ambao haupendelei upande wowote, uchaguzi unaoheshimu ukuu wa mamlaka ya wananchi juu ya viongozi wao wanaopatikana kwa njia ya kura.
Imetumia nafasi hiyo kutoa msisitizo kwa OR-TAMISEMI kuwa inapaswa kufahamu jukumu kubwa ililonalo la kuhakikisha zoezi zima la upigaji kura linafuata misingi ya demokrasia, na kwamba wale walioshinda kihalali ndio wanaopaswa kutangazwa kuwa viongozi halali wa maeneo husika.
"Tunasisitiza tena kwamba lazima wasimamie uchaguzi kwa misingi ya haki, wasipendelee chama chochote kwa namna yoyote ile, ukiukwaji wa matakwa ya wananchi hupelekea kuwa na viongozi wasio chaguo la watu, kiongozi anayepatikana kwa mabavu, kwa uongo, kwa kutangazwa bila kupata kura nyingi husababisha kutokuaminika na kukiukwa kwa misingi ya demokrasia" -TEC.
Pia, TEC imesema nguvu inapotumika kwenye misingi ya kidemokrasia na ulaghai katika michakato ya kutafuta viongozi ni lazima matokeo yake ionekane kiongozi huyo anatumia nguvu na ulaghai katika kuwaongoza watu katika kipindi chake chote cha uongozi jambo ambalo halikubaliki.
There is something wrong.When the Church speaks....
Kweli kabisa.Daima TEC ni wakweli si waongo. Mchafuzi wa Uchaguzi aangalie asiende motoni aheshimu kauli ya Viongozi wa Dini
Tende tamu kwa kahawa inanoga shehe !Baklava wanasubiria mgawo wa tende toka saudia.
Bahati mbaya siongozwi na mihemko ya kidini, Mimi na Sheikh Ponda tuna ukaribu Sana! Na wengine wengiWangekua ni waislam wameongea unge comment nnww na wengi wengine ??? Hapa ingekua ni matusi tu na kauli za dharau na kuwambia waislm wana mix dini na siasa, hii inchi hii jmn, anye tu kuku, akinya bata.....
Hao wanafki kanisani kwao kuna haki? Watulize vitako vyao kinachowasumbua Rais kuwa muislamu.Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara ya kukosekana kwa uchaguzi huru kunasababisha madhara makubwa.
Hayo yameelezwa na Rais TEC Askofu Wolfgang Pisa OFMCap alipokutana na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 15.2024, jijini Dar es Salaam ambapo ameelza kuwa kwa muda mrefu hapa nchi watu wengi wamekuwa wakilalamikia michakato ya chaguzi mbalimbaliKuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 TEC imesema wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo ikiwa ni pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura ikifuatiwa na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi wagombea wa vyama vya upinzani nchini.
"Jambo hilo limetia doa kubwa sana Taifa letu na hata pale kiongozi mwenye dhamana (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI) alipoamua kutoa muda zaidi wa kukata rufaa bado haikuondoa doa hilo kwa uchaguzi wa mwaka huu, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.2024" -TEC.
Aidha, TEC imesisitiza kuwa uchaguzi pekee unaoheshimika ni ule unaoendeshwa kwa misingi ya uhuru, haki, uwazi ambao haupendelei upande wowote, uchaguzi unaoheshimu ukuu wa mamlaka ya wananchi juu ya viongozi wao wanaopatikana kwa njia ya kura.
Imetumia nafasi hiyo kutoa msisitizo kwa OR-TAMISEMI kuwa inapaswa kufahamu jukumu kubwa ililonalo la kuhakikisha zoezi zima la upigaji kura linafuata misingi ya demokrasia, na kwamba wale walioshinda kihalali ndio wanaopaswa kutangazwa kuwa viongozi halali wa maeneo husika.
"Tunasisitiza tena kwamba lazima wasimamie uchaguzi kwa misingi ya haki, wasipendelee chama chochote kwa namna yoyote ile, ukiukwaji wa matakwa ya wananchi hupelekea kuwa na viongozi wasio chaguo la watu, kiongozi anayepatikana kwa mabavu, kwa uongo, kwa kutangazwa bila kupata kura nyingi husababisha kutokuaminika na kukiukwa kwa misingi ya demokrasia" -TEC.
Pia, TEC imesema nguvu inapotumika kwenye misingi ya kidemokrasia na ulaghai katika michakato ya kutafuta viongozi ni lazima matokeo yake ionekane kiongozi huyo anatumia nguvu na ulaghai katika kuwaongoza watu katika kipindi chake chote cha uongozi jambo ambalo halikubaliki.
We bwege hao ni wanafiki, wasalishe waumini wao, km wanataka siasa wavue majohoDaima TEC ni wakweli si waongo. Mchafuzi wa Uchaguzi aangalie asiende motoni aheshimu kauli ya Viongozi wa Dini
Haya yanayotokea kwenye hizi chaguzi na uonevu unaoonekana waziwazi ufunikwe katika mwavuli ya Rais ni muislam?Hao wanafki kanisani kwao kuna haki? Watulize vitako vyao kinachowasumbua Rais kuwa muislamu.
Hao washenzi ni wabaguzi sn. Kipindi cha Magu walikuwa kimya pamoja na kwamba serikali ilifanya maovu makubwa. Walikuwa wapi chaguzi za 2019 na 2020? Hao ni kuwazomea hawana ht haya. Serikali iwapuuze hao makaburu
Wakina nani walioenguliwa??Wamesharejeshwa
Chura kiziwi sijui atakuwa amesikia?Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara ya kukosekana kwa uchaguzi huru kunasababisha madhara makubwa.
Hayo yameelezwa na Rais TEC Askofu Wolfgang Pisa OFMCap alipokutana na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 15.2024, jijini Dar es Salaam ambapo ameelza kuwa kwa muda mrefu hapa nchi watu wengi wamekuwa wakilalamikia michakato ya chaguzi mbalimbaliKuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 TEC imesema wananchi wameshuhudia jinsi zoezi zima la uandikishaji wa daftari la mkaazi lilivyoendeshwa hovyo ikiwa ni pamoja na kutokutolewa kwa vitambulisho vya wapiga kura ikifuatiwa na upendeleo wa wazi na usio wa kificho uliofanywa na watendaji/ wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua kwa wingi wagombea wa vyama vya upinzani nchini.
"Jambo hilo limetia doa kubwa sana Taifa letu na hata pale kiongozi mwenye dhamana (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI) alipoamua kutoa muda zaidi wa kukata rufaa bado haikuondoa doa hilo kwa uchaguzi wa mwaka huu, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.2024" -TEC.
Aidha, TEC imesisitiza kuwa uchaguzi pekee unaoheshimika ni ule unaoendeshwa kwa misingi ya uhuru, haki, uwazi ambao haupendelei upande wowote, uchaguzi unaoheshimu ukuu wa mamlaka ya wananchi juu ya viongozi wao wanaopatikana kwa njia ya kura.
Imetumia nafasi hiyo kutoa msisitizo kwa OR-TAMISEMI kuwa inapaswa kufahamu jukumu kubwa ililonalo la kuhakikisha zoezi zima la upigaji kura linafuata misingi ya demokrasia, na kwamba wale walioshinda kihalali ndio wanaopaswa kutangazwa kuwa viongozi halali wa maeneo husika.
"Tunasisitiza tena kwamba lazima wasimamie uchaguzi kwa misingi ya haki, wasipendelee chama chochote kwa namna yoyote ile, ukiukwaji wa matakwa ya wananchi hupelekea kuwa na viongozi wasio chaguo la watu, kiongozi anayepatikana kwa mabavu, kwa uongo, kwa kutangazwa bila kupata kura nyingi husababisha kutokuaminika na kukiukwa kwa misingi ya demokrasia" -TEC.
Pia, TEC imesema nguvu inapotumika kwenye misingi ya kidemokrasia na ulaghai katika michakato ya kutafuta viongozi ni lazima matokeo yake ionekane kiongozi huyo anatumia nguvu na ulaghai katika kuwaongoza watu katika kipindi chake chote cha uongozi jambo ambalo halikubaliki.
Watu wakosee na wasifuate miongozo na wakakata rufaa harafu uje kusema wameonewa wakati sheria na kanuni za uchaguzi zinajukikana?Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara ya kukosekana kwa uchaguzi huru kunasababisha madhara makubwa.