LGE2024 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Kuenguliwa kwa wapinzani kumetia doa uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
TEC wamenyooka sana
 
Wangekua ni waislam wameongea unge comment nnww na wengi wengine ??? Hapa ingekua ni matusi tu na kauli za dharau na kuwambia waislm wana mix dini na siasa, hii inchi hii jmn, anye tu kuku, akinya bata.....
Ebu tupe mfano hata mmoja tu
 
Ujumbe mzuri ila Baraza la Maaskofu Tanzania wanastahili kusimamia hapo hapo kwenye ukweli.Tuliona kipindi cha Magufuri Baraza lilimbeba sana katika maovu mengi jambo ambalo kimsingi halikubaliki.
 
Watu wa motoni wanajiaminisha kwamba kwenye siasa Eti Mungu hayupo kabisa 😳🙄😱🤦🏽‍♂️ !
Maajabu ! Kwani Mungu huwa anawaogopa wenye nguvu na madaraka ???!!
 
Wangekua ni waislam wameongea unge comment nnww na wengi wengine ??? Hapa ingekua ni matusi tu na kauli za dharau na kuwambia waislm wana mix dini na siasa, hii inchi hii jmn, anye tu kuku, akinya bata.....
Bahati mbaya siongozwi na mihemko ya kidini, Mimi na Sheikh Ponda tuna ukaribu Sana! Na wengine wengi
 
Hao wanafki kanisani kwao kuna haki? Watulize vitako vyao kinachowasumbua Rais kuwa muislamu.
Hao washenzi ni wabaguzi sn. Kipindi cha Magu walikuwa kimya pamoja na kwamba serikali ilifanya maovu makubwa. Walikuwa wapi chaguzi za 2019 na 2020? Hao ni kuwazomea hawana ht haya. Serikali iwapuuze hao makaburu
 
Haya yanayotokea kwenye hizi chaguzi na uonevu unaoonekana waziwazi ufunikwe katika mwavuli ya Rais ni muislam?
Huku Uislamuni si ndiko mnasema dininyenu ni ya haki?
Kuna haki inatendeka kwenye zoezi zima la uchaguzi?
Usilamu usikufanye kuwa Zombie
 
Chura kiziwi sijui atakuwa amesikia?
 
Watu wakosee na wasifuate miongozo na wakakata rufaa harafu uje kusema wameonewa wakati sheria na kanuni za uchaguzi zinajukikana?

Maana wakioitishwa wanaweza wekewa pingamizi ikawa Haina maana.

Acheni kabisa kuwasemea Wapinzani nyie watu wa dini kisa tuu hamumpendi Samia, upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…