PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hujakatazwa kutoka na waraka wa kusifu na kupongeza rais na wabunge waliojiteua
 
Ujinga zaidi alioushindwa kuuficha na kulililia kazi ya Nchimbi na Wakatoliki Ikulu kwamba wataonekanaje na boss wao!
Yaani ni mpuuzi kweli, bado anadhani kila mtu anamsujudia rais. Rais mwenyewe huyu aliyepata urais wa hela, na juzi akaishia kupora uchaguzi! Inaonekana hayo madaraka wanapewa kama hisani ili kwenda kupumbaza watu wa dini zao kukubali kuburuzwa.
 
Wewe una vinasaba na wale wauaji aidha ni mmoja wapo au ni sehemu ya wale wauaji, sasa kuna kitu nimeanza kukigundua kadri mnavyojifungua ndio tunavyozidi kuwajua.. Framed
Nawewe utakuwa na vinasaba na wale Wahalifu, itakuwa ndiyo uliyewatuma.
 
Wanaopiga kelele ni wakatoliki tu. CCT, WASABATO, WALOKOLE n BAKWATA wapo na Samia. Na mpiga kelele mkubwa ni Padri Kitima nduye na Tundu Lisu. Hakuna jipya hapo
Kwenye kudai haki hakuna ulazima wa kuwa wengi, katoliki wanaweza kusimamia haki maana wanajitambua. Hao wengine wanaosimama na Samia walikuwa wapi wakashindwa kushawishi wananchi wajitokeze kupiga kura hadi akatangazwa kwa kura hewa, za aibu na umwagaji mkubwa wa damu?
 
Nawewe utakuwa na vinasaba na wale Wahalifu, itakuwa ndiyo uliyewatuma.
Wewe unafurahia watu kufa unataka kusema wale waliouawa wote ni wahalifu yule mama aliekua anakimbia kule Arusha mkampiga risasi ni mhalifu, shekhe aliekua anaishi mabibo kule shekhe majini mmemuua kwa kumpiga risasi ya tumbo na nyingine ya kifua akiwa nyumbani kwake na yeye alikua mhalifu? Hao wachache kwa kuwataja unasema hao wote ni wahalifu? Mtaua wangapi mpaka lini?
 
Usijifanye huna akili inapotokea vurugu silaha haichagui wa kuua anakufa yoyote ndiyo maana hata askari waliuawa, wewe umewaona hao tu.
 
niulize haya yote tumefikaje huku mpka watu kuchoma vituo vya polisi, na kwa nini vyombo vya habari haijawahi kuonesha hao walioleta vurugu badala yake wanaonesha vitu vilivyohalibiwa
 
Kwetu mtu ambaye hajaoa hata kama ni mzee tunamwita mvulana.
Unajua huyu Mvulana Kitima ataliharibu kanisa katoliki liliojijengea umaarufu mkubwa Tanzania.
Nenda kapeleke huo mkundyu wako akuoe wewe . kum@ LA mamako ,***** wewe
 
Usijifanye huna akili inapotokea vurugu silaha haichagui wa kuua anakufa yoyote ndiyo maana hata askari waliuawa, wewe umewaona hao tu.
Wewe ni mhalifu muuaji mtekaji umekaa humu kujifanya hatukujui? Ulifikiri hatutokujua? Framed
 
Usijifanye huna akili inapotokea vurugu silaha haichagui wa kuua anakufa yoyote ndiyo maana hata askari waliuawa, wewe umewaona hao tu.
Mseng€ wewe , ungekuwa umepatwa na hili janga usingeleta hizo pumbu zako kuandika uchoko humu ,nenda facebook kwa machoko wenzako kawaambie huu upumbavu wako
 
Wewe ni mhalifu muuaji mtekaji umekaa humu kujifanya hatukujui? Ulifikiri hatutokujua? Framed
Maliza yote, amani ya Tanzania, amani na utulivu wa watanzania unatakiwa kulindwa kwa gharama yoyote. Mwenye hoja ya msingi uwanja wamazungumzo upo.
 
Pumb
Pumbavu zako.
 
Hizo haki unazodai ni haki za katoliki na Padri Kitima baada ya kunyang'anywa bandari. Siyo haki za watanzania.
 
Maliza yote, amani ya Tanzania, amani na utulivu wa watanzania unatakiwa kulindwa kwa gharama yoyote. Mwenye hoja ya msingi uwanja wamazungumzo upo.
Wewe muuaji tumeshakujua muuaji mkubwa unajifanya unajichanganya humu unatuchora tu kumbe watu tunajua kusoma between the lines kila unachoandika tushakujua muuaji mmoja wewe
 
Nisichokipinga ni kimoja kwamba licha ya yote yaliyotokea na yanayotokea Kuna watu Wana Nia mbaya sana na nchi hii. Vita. Wanataka tupigane!
Umeambiwa katiba inakuja soon .
Umeambiwa maridhiano yaani tuongee tumalize tofauti zetu tujenge nchi hutaki! Then...
 
Huyu ni Emmanuel Nchimbi kwa kutumia proxy
 
Ni taasisi ya kujiunga au kujitoa kwa hiyari, ukiona huendani na sera zao tena unahamia kwa mwamposa sisiemuni tu ize! Usijipe umuhimu kijana kwa vya watu Roma Locuta Causa Finito, period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…