ungejua ninavyo upenda hasa ukiuchanga na nyama ya Mbuzi halafu iwe ya mbavu....Pinda bado anaweza kuokoa jahazi...kama atasimamia haki na sheria....naamini Alhami ijayo kwenye maswali ya papo kwa papo litaibuka...mahakamani hatuendi!?...mbona watu wa Tegeta jana hawakwenda mahakamani....Duh, ww kweli mchicha mwiba, unamsubiri pinda afanye nn wakati aliisha lielezea hili suala bungeni kwa ufasaha ? suluhisho la hapo ni CDM kwenda mahakamni tu, uwoga wa nn na huko ndiko haki inakopatikana?
Wakuu nawashukuru wote mnaochangia kwa hoja,msimamo wetu upo wazi,na kamwe hatukubali uhuni wa ukiukwaji wa sheria
Leo walitupa barua za wito wa kikao cha saa mbili na nusu,ila wao wa ccm wakafika saa nne na wakati wote walikuwa wanajaribu kutushawishi ili tujiandikishe kwenye rejista tukakataa hali iliyosababisha korum kutotimia,leo wamejua quorum daima tutasimamia haki maana ndio msingi wa maendeleo

walisema tuanzishe bendi..tumeianzisha mbona kucheza hawaweziii!Pinda angeitisha uchaguzi huru jamani kashshe iishe kwa nini wanaziba masikio na pamba,wanataka kuifanyaje Geneva of Africa
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.

Kikao cha baraza la madiwani arusha cha kupitisha bajeti kimeshindwa kukaa baada ya madiwani wa chadema kukataa kurejista,hali iliyofanya akidi kutotimia
Sheria inataka bajeti ipitishwe na theluthi mbili
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.
Wakuu nawashukuru wote mnaochangia kwa hoja,msimamo wetu upo wazi,na kamwe hatukubali uhuni wa ukiukwaji wa sheria
Leo walitupa barua za wito wa kikao cha saa mbili na nusu,ila wao wa ccm wakafika saa nne na wakati wote walikuwa wanajaribu kutushawishi ili tujiandikishe kwenye rejista tukakataa hali iliyosababisha korum kutotimia,leo wamejua quorum daima tutasimamia haki maana ndio msingi wa maendeleo
Kishongo,
Asante kwa post yako. Napenda kufahamu
i) wewe na nani "hamtadanganyika tena"?
ii) Mlikutanana wapi kuweka misimamo huo?
iii) Nakuhakikishia wananchi wa Arusha Msimamo wao ndio huo wa Madiwani wa Chadema. Kuna uhuni gani mkubwa zaidi ya "kupindisha sheria kama walivyofanya Serikali na CCM. Ni swala la muda yatawatoka puani. Kama bajet inashindikana kwa ajili ya Quorum watueleze quoram ya uchaguzi ilitoka wapi. Ndiyo maana chadema tulikataa option ya kwenda mahakamani. Sababu ni kuwa uchaguzi huo haukuwepo kwa kuwa ulikuwa "null and void 'ab initio'".
Hivyo jadili kwa hoja zaidi kuliko ushabiki tu.