Baraza la madiwani Halmashauri ya Rombo lahamia CCM

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.

Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
 
This is a painful day for CDM...Wait for more to come
 
Siku chadema ikifa hivyo mnavyotaka na kutamani mjue hata ccm hiyo haitakuwa na wanachama tena na mtaanza kuvurugana wenyewe mwisho wake itakuwa ni kuiingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe... Endeleeni kusifu na kumuimbia pambio Bwana yesu kristo wa Tanzania
 
Ife mara ngapi? huoni hata mwenyekiti wenu akijikwaa kwa ulevi?
 
Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.

Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
Wataaibika October.
 
Nani anataka kubaki chadema kwa Sasa? Mtu unaona jahazi linazama ubaki una shangaa tu, lazima ujitose kwenye maji upige mbizi kujiokoa. Chadema kwa sasa ni the last kick of diying horse!!!
 
CCM iliondoka na Nyerere kilichobaki sasa ni kama mapambio tu kanisani.
 
Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.

Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
Upuuzi mtupu
 
Kuna pull factors na push factors!

Yaani mazingira mabovu ya ndani yanayosababisha wanachama kukikimbia chama, na mazingira mazuri ya chama kingine yanayowavuta wanachama.

Kosa kubwa la CHADEMA ni kuruhusu mtu moja mwenye upeo mdogo wa maono na utambuzi ila mjanjamjanja aliyebebwa na historia atengeneze mtandao wa kumtumikia yeye binafsi badala ya chama. Hivyo kulea uovu wa udikteta, ubadhirifu, udhalilishaji wa kijinsia, kujipendekeza, nepotism, usanii na siasa za maigizo, makundi na madaraja.

Kwangu mimi ubovu wa ndani ya CHADEMA ndiyo chanzo na sababu kubwa ya wanachama na viongozi wengi kuhama CHADEMA.

Natambua mabadiliko makubwa yanayofanywa na serikali ya CCM chini ya kiongozi wa aina yake na mwenye kuleta mabadiliko makubwa, JPM. Hivyo sishangai viongozi wa vyama vingine wanapochoshwa na usanii wa ndani ya vyama vyao na kuamua kujiunga na CCM!
 
Apo unajiona una akiliii kuliko mbowe,imekula kwako
 
Back
Top Bottom