Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Baada ya miaka takribani 60 ya uhuru mna jipya gani ambalo mtanzania anaweza kujivunia?Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.
Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
Sana sana ni kuwaongezea umasikini na ujinga