Baada ya miaka takribani 60 ya uhuru mna jipya gani ambalo mtanzania anaweza kujivunia?Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli.
Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
Mmewapa kiasi gani
Mwendelezo wa upumbafu na ujinga, bado mnajidanganya mtarudia ya serikali za mitaa 99%!? Tutajuta pamoja.
This is a painful day for CDM...Wait for more to come
walichohitaji kwani nyie hamna ruzuku na michango ya wabunge?
Siku chadema ikifa hivyo mnavyotaka na kutamani mjue hata ccm hiyo haitakuwa na wanachama tena na mtaanza kuvurugana wenyewe mwisho wake itakuwa ni kuiingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe... Endeleeni kusifu na kumuimbia pambio Bwana yesu kristo wa Tanzania
Ife mara ngapi? huoni hata mwenyekiti wenu akijikwaa kwa ulevi?
Kama kuna madiwani wa kike hapo waandike barua ya kuomba pesa kwa Dr.Bashiru atawapa mapesa baada ya kuchakata.
Subiri matokeo
Mbona CCM ilishawahi kuwa peke yake na hakukuwa na hivyo vita?Siku chadema ikifa hivyo mnavyotaka na kutamani mjue hata ccm hiyo haitakuwa na wanachama tena na mtaanza kuvurugana wenyewe mwisho wake itakuwa ni kuiingiza nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe... Endeleeni kusifu na kumuimbia pambio Bwana yesu kristo wa Tanzania
Na kimboto juu.Aliomba 50 akapewa 70[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
CCM hamtumi kilevi siyoIfe mara ngapi? huoni hata mwenyekiti wenu akijikwaa kwa ulevi?