Mimi nitoe kura yangu wewe ulisikia wapiiii? Kwa sauti ya bwegeHamtaki kumpa kura za ndiyo
Mtajua hamjui😛Bunge linachukuliwa kama sherehe za jando huku kwetu Kenge Republic
Nipo uyole napuna mpunga bwasheeNitafutie connection huko Ughaibuni, nimechoka kuishi huku upumbavuni
Canada ya nyokwe🤣🤣🤣 uyole moja hiyoAaah nikajua upo Canada
Kama upo Uyole Wacha tukomae huku Kenge Republic
Kaka mboneke ana akili enhe?Mc mboneke mtoe katikati ya hao viazi bwashee
Kinouma japo ni low-key ila kipangaKaka mboneke ana akili enhe?
Mimi ni nani nikatae ikiwa watu wenye akili kubwa kama mimi mmemthibitisha kuwa almasiKinouma japo ni low-key ila kipanga
Haiwezekani Mh. HARMORAPA hayupo kwenye orodha hiiWasomi Kwa maksudi mmepuuza siasa na hamtaki kugombea, Wacha Sasa mtawaliwe na kuongozwa na mambumbumbu
1. Mh Dj Romy Jons
Waziri wa Katiba na sheria
2 Mh Shilole
Waziri wa Viwanda na uwekezaji
3 Mh Mamy baby
Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia
4 Mh Baba Revo
Waziri wa Maji
5 Mh Kingwendu
Waziri wa sera, viwanda na uwekezaji
6 Mh Bamboo
Waziri wa miundo mbinu
7. Mh Mwijaku
Waziri wa Afya
8 Mh mc Mboneke
Waziri ofsi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
9. Mh Babu Talle
Waziri wa Muungano na mazingira
10. Mh Ndaro
Waziri wa kilimo, mifugo na umwagiliaji
11. Mh Harmonizer
Waziri wa habari,sanaa na michezo
12. Mh Zuchu
Waziri wa Mambo ya nje, kikanda na Africa Mashariki
13. Mh Mtanga
Waziri wa Fedha
Hahaha kweli wewe ukiweka tiki mimi nafuata broMimi ni nani nikatae ikiwa watu wenye akili kubwa kama mimi mmemthibitisha kuwa almasi