Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la mawaziri

Kwa mjibu wa Samia Kuna watendaji ni wabovu ndani ya serikali yake.

NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!
Kwani watoto pendwa nao wataenda kwa sangoma?
 
Kama alikuwa anajua ana watendaji wabovu kwenye serikali yake, siku zote alikuwa anasubiri nini kuwaondoa?

Au ndio alikuwa anasubiri huo mkutano wao wa NEC akatangazie huko?

She is not serious.
 
Watendaji anaowaona wabovu hana uwezo wa kuwatumbua maana wanaripoti kwa aliyewatuma kwake wateuliwe!

We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when a men are afraid of the light." -Plato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…