Tetesi: Baraza la mawaziri kuvunjwa

Yoyote anayechagiliwaa kuwa sehemu ya Baraza la huyu Muuaji Samia ni Haramu... Hakuna Rais aklicheguliwa mwenye uhalali wa kutengeneza Baraza la mawazi... Wote chini ya Samia ni Waauaji na haramu
Nyumbu wewe hanithi kwelikweli, endelea kulikalisha sotojo lako hilo ukipita ndoto zako za alinacha.
 
Hata livunjwe mara mia hakuna cho chote kitakachobadilika sana sana ni kuzidisha wizi wa mali za umma tu. Wakiingia wapya watakuja na moto mpya wa kuiba. Afadhali hawa hawa waendelee maana labda kwa kiasi fulani wameiba mpaka wamekaribia kuchoka.

Labda kama baraza lote linavunjwa na serikali yote kujiuzulu ili ule uchaguzi haramu urudiwe na Tundu Antipas Lissu akiwa mgombea. Then we can talk!
 
Watumie akili za wananchi watajua kila kitu!!!

Hata wavunje baraza itawasaidia ninii!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…