JF, Hivi Tunazungumza Uchaguzi kama Referendum ya Serikali ya CCM ambayo ni sahihi katika demokrasia ambayo Incumbent anaomba ridhaa kuendeleza mambo aliyoanzisha Kwa kipindi kingine.
CHADEMA, Chama kikuu cha Upinzani Tz kikipewa ridhaa ya Kuongoza sisi wa WaTZ lazima kitakuwa na Serikali yake ambayo itakuwa na viongozi makada wa Chama Hicho wenye ushawishi..Mwenyekiti wa CHADEMA,ambaye anatarajiwa kuwa Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, ndio atategemewa kuwa WAZIRI MKUU WA 12 wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, chini ya RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA, MHE. DK. WILBROD PETER SLAA..
Je, NAFASI YA WAZIRI MKUU MTEULE, MHE. AIKAELI MBOWE (MBUNGE WA HAI) KATIKA SERIKALI YA RAIS DR. SLAA INACHUKULIWAJE, MBOWE KUMRITHI PINDA UONGOZI WA SERIKALI IJAYO KUNAWEZEKANA?