Elections 2010 Baraza la mawaziri la Dr slaa

Elections 2010 Baraza la mawaziri la Dr slaa

slaa%26Rose.jpg
Huyu bibie kupoozwa kwa Uwaziri?
 
Part 3 ya hii link, Dr. Slaa alisema ana timu ya kutosha. Sikiliza mwenyewe ni karibia na mwisho. Kumbuka Dr. Slaa anataka kuunda baraza dogo. Achana na JK ambaye anapenda baraza kubwa ili aongeze matumizi!!!!
Documentary

CCM IMEKARIBIA KUITWA CHAMA CHA UPINZANI... BAADA YA OCT 31
 
Tusake,Tukapige na tulinde kura kwanza..kugawana keki badae..!
 
CHADEMA bado hawana watu wenye uzoefu wa kuendesha serikali. Huwezi kuendesha serikali kwa kutegemea watu wachache. Hawa wanahitaji muda kukaa katika upinzani ili wajifundishe. Na hii inasikitisha kua inawapa nafasi CCM kuendelea bila upinzani wa imara .
 
CHADEMA bado hawana watu wenye uzoefu wa kuendesha serikali. Huwezi kuendesha serikali kwa kutegemea watu wachache. Hawa wanahitaji muda kukaa katika upinzani ili wajifundishe. Na hii inasikitisha kua inawapa nafasi CCM kuendelea bila upinzani wa imara .


Kwani Nyerere alipopata Uhuru akawa Rais Uzoefu aliupata wapi? Usiogope mabadiliko haya huleta maendeleo angalia Ghana,Msumbiji,Zambia, Malawi na hawa Malawi ndo kiboko kwelikweli Rais aliingizwa madarakani baada ya kufika Ikulu akatoka kwenye chama kilichomuingiza na kuanzisha chama kingine. UZOEFU UTAPATIKANA TU. Kwani hata wewe leo wakikupa Uraisi utashindwa Kuongoza? Unatumia Sheria na taratibu utakazozikuta Ikulu.
 
Unataka baraza la mawaziri mia kama wa Jk, ye alisema mawaziri ishirini, kwa hesabu ndogo tu walw wabunge waliuopita walikuwa 11 na raisi ana nafasi za uteuzi 10 wanatosha kabisa kuunda serikali huoni hapo mkuu, au ndo uwezo wa kufikiri mdogo, na kwa taarifa yako viti vingi vinaongezeka, wala usipime vibaya litakuwa baraza la wachapakazi wa kutosha. he he he utajiju.
 
:whoo:jamani hayo ni sawa ila mkumbuke ndani ya CHADEMA kuna wanaoihujumu na kuomba dua kila siku ife,wamewekwa na chama kikubwa cha upinzani kwake
 
Wewe utakuwa personal secretary na kazi yako itakuwa kubeba simu ya rais na kufuta sms zilizosomwa, na delivered report tu! bila kusahau kuchaji simu ya mkuu, ole wako ije kuishiwa chaji...!!!!!
 
Back
Top Bottom