Katika hizo 10: moja ampe Lipumba nyingine Magufuli.
Hapo vipi?
Mkuu; mbona unachanganya watu wanaokujibu?
Kuwa makini kidogo . . . angalia aliyejibu post yako ni nani . . .
Kutoka moyoni, natamani Dr. John Pombe Magufuli apewe ukiranja mkuu! Japo yuko chama cha mafisadi. lakini kama katiba itabdilika, akaachia ubunge, afaa sana kuwa PM, naamini combination ya Slaa na JPM Tanzania itazaliwa upya!
Sawa Great Thinker . . . . assume ujumbe umefika ulivyo?
Ni nini mapendekezo au maoni yako mbadala?
WanaJF;
Si vibaya tukaanza kutoa maoni na mapendekezo yetu hata kuota ni nani ambao wanaweza kufanya team nzuri katika Baraza la Mawaziri la Serikali ya Mh. W.P. Slaa endapo atashinda uchaguzi mkuu.
Napenda nianze kutoa mapendekezo hayo:
Rais: Mh. Wilbroad P. Slaa
Makamu wa Rais: Said Mzee Said
Waziri Mkuu: Mh. Freeman Mbowe
Mwanasheria Mkuu: Mabere Marando
Waziri Wa Sheria na Katiba: Tundu Lisu
Waziri wa Fedha; Mipango na Uchumi: Mh. Ndesamburo
Waziri wa Miundombinu: Mh. Zitto Kabwe
Waziri wa Ajira; Vijana; Michezo na Utamadubi: Mh. Halima Mdee
Waziri wa Afya; Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto:
Wizara ya Ulinzi; Mambo ya Ndani; JKT na Usalama wa Taifa:
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi:
Wizara ya Kilimo; Chakula; Ushirika; Mifugo; Maji na Umwagiliaji
Wizara ya Ardhi; Makazi; Misitu; Mazingira na Utalii
Wizara ya Mambo ya Nje; Biashara na Masoko:
. . . . .
Naomba sasa wadau muendelee . . . .
Kuwa na baraza dogo litakalopunguza matumizi na kuleta ufanisi,pia kuunganisha wizara kulingana na utendaji wakeMapendekezo au maoni ya mfumo ulionao ni yapi?
Sio kingunge pekee,mbunge mwingine wa kuteuliwa ni Yusufu Makamba ambaye mchango wake katika Bunge ni nini?naona mmesahau kuwa kwa mujibu wa katiba iliopo Rais wa Jamuhuri ya Tanzania anahaki ya kuteua wabunge Kumi kama ataona inafaa, kama ataona anakosa watu makini na wajuzi wakuendesha serikali anauwezo wakumteua yoyote awe Mbunge, yeye sio Kikwete anaetumia nafasi kumi za Ubunge kuwapa wapuuzi nafasi za uongozi wa kitaifa....rejea Uteuzi wa Kingunge kisha leta hoja yoyote aliyowahi kuijenga Bungeni kwa miaka 5.
Siwezi kuendelea mimi labda kama ni la muda! maana Dr Slaa keshasema anabadili katiba na atachagua mawaziri wasio wabunge. Anyway, napenda kuona Nishat na Madini Mh Zitto Kabwe.
Magufuli atambae zake kule atatubania nafasi bure, kiukweli utendaji wake ulitukuka lakini huko aliko kuchafu. Ni sawa na Mrema Lyatonga pamoja na kuwa alifanya kazi nzuri wakati wake lakini sasa hivi huwezi kumdhamini. Kuhusu Mbowe siyo rahisi kuwa PM, mi naona atafaa zaidi kwenye viwanda na biashara, PM atakuwa mtu flani ambaye siyo famous kivile.Katika hizo 10: moja ampe Lipumba nyingine Magufuli.
Hapo vipi?
Aisee...
hili litakuwa moja ya baraza la mawaziri bovu kusikia maisha yangu yote!!! Naona watu wasiozidi watano wanaostahili hapo!
Specifically Mdee, Zitto, Mnyika na yule binti mwingine wa Kigoma.... the rest mmmmhhhh.... Lisu kama mwanasheria siku ile kwenye kampeni anaongea mbele ya waTanzania anamkejeli Waziri Mkuu kwa jina alilopewa na Wazazi wake.... hapana CHADEMA itakuwa chama cha kibabe sana!
Ingawa inasikitisha watu wengine hawajui katiba inasema je kuhusu kuunda baraza la mawaziri specifically kuteua na kupitisha waziri mkuu...
Ni hivi ukishinda urais bila kuwa na wabunge wakutosha utakuwa rais wa muda mfupi sana....
In short ili CHADEMA iunde serikali italazimika kuteua waziri mkuu kutokan CCM. na hii ni mpaka CCM wakubali.
Oooh! You are right Mkuu!
In 100 days . . . . ngoja tuendelee kuota tu!
Basi, Mipango, Fedha na Uchumi namweka: Professor Ibrahimu Lipumba . . . .