Elections 2010 Baraza La Mawaziri La Dr. W.P. Slaa Hili Hapa

Hivi Prof. Lipumba na Magufuli wakiwemo imekaaaje?
 
D
ay dreaming, only your wishful thought, be real SM. Hatuna nafasi ya kufanya majaribio kwenye nchi hii iliyojaa ufukara.

Kama hili unalolisema limetoka moyoni basi tueleze pengine kwa kufanya majaribio mwaka 2005 ndiyo maana umasikini umeongezeka?

Hivi wamarekani waliomchagua Obama walifanya majaribio na je hawakuwa na nafasi ya kufanya majaribio.....

Huo umasikini ulioutaja huoni CCM na hususani JK ndiyo wameusababisha yaani unataka laana ya huo umasikini tuendelee nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…