Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

Mnhuuhh!!!!????
 
Nchi pekee duniani ambayo waziri ana PhD lkn anakwenda kwa mganga wa kienyeji asiye na elimu ili aendelee kubaki kwenye Baraza.
Nchi pekee waziri mwenye degree ya kutibu watu lkn yeye binafsi anakwenda kwa Karumanzila for consultation kuhusu ugonjwa.
 
Du! We mbaya sana aseee!
 
Kuna watu wanatabiri aisee.....
Hii mada imeenda kulekule Kwa mama na amefanyia kazi mawazo yako
 
Kilichoopiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la Kale man Ni ongezeko la Bei ya mafuta mwanzoni mwa mwezi huu.
 
Duh...!. Kuna watu mna powers humu!.
Yote ulioshauri yametekelezwa.
P
 
Alafu kipindi watu wanapiga kelele kuhusu matumizi mabaya ya pesa walionekana sio wazalendo wanatumiwa na Mabeberu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ,umenikumbusha zama za ubeberu,uzalendo,vibaraka,daaaah,kina Bashiru
 


mkuu utaaibika ukosema JPM alikuwa anachomeka makampuni yake!!

JPM kwa miaka 15 alikuwa wizara tajiri yenye mijihela kuliko yeyote

Yaani angeamua kula 2% ya bajeti ya miaka 15 angekuwa ni karibu trillioni 2

angekuwa tajiri kuliko MO na bakhresa...wala asingeutaka urais...na fedha haijifichi

Ndio aje kupiga hela akiwa rais??

katemee mate shimo lililokutoa
 
Jamaa alikuwa mlafi toka 1995 yeye nikuiba tu hadi rambirambi na alikuwa anaiba kibabe bila aibu
 
Mleta uzi mama amekusikia.

Bado ataendelea, maana amesema ameweka koma hajaweka nukta.
Endelea kuchambua maana chekecheke bado linafanya kazi.
 
Mama amekusikia aisee sema hapo kwenye mikataba ya makampuni yaliyokuwa subcontracted kule kwenye stieglers gorge kampuni ya Magu ipo ndio wenye tenda ya kupeleka kokoto pale
 
Mama amekusikia aisee sema hapo kwenye mikataba ya makampuni yaliyokuwa subcontracted kule kwenye stieglers gorge kampuni ya Magu ipo ndio wenye tenda ya kupeleka kokoto pale
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…