Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Mkuu mbona nasikia wanachukua point kumi?
 
Ukitoa CBG tu hapo ndo hawez pata..zingine zote anapata...Akasome HGL AU HGE , japo ana F ya hesabu...nashauri akifika shule aombe kusoma HGE kwa walimu wake..watamkubalia tu...ikishindikana kabisa asome hyo hyo hgl tu ndo itamfaaa..

Kuhusu college anaweza pata..ila acha akasome tu advance ina heshima yake na atajifunza mengi huko..mpe hongera zake mana mwaka wao ufaulu sio mzur , hiyo kajitahid sana hasa kama kasoma shule zetu hizi.
 
Mkuu amejitahidi Sana maana kasoma shule zetu hizi za akina Katumba
 
Point 10 hutegemea performance ya mwaka husika mkuu kwa mfano
Matokeo ya mwaka 2008 mtu aliekuwa na point 10 yani ccd hakupata shule so it depend mkuu
Yaa sure brother. ..nmeona huu mwaka wao majanga pia nahisi watabeba hadi 10 tu..
Thanks for clarification
 
Point 10 hutegemea performance ya mwaka husika mkuu kwa mfano
Matokeo ya mwaka 2008 mtu aliekuwa na point 10 yani ccd hakupata shule so it depend mkuu
OK tusubiri mwaka huu tuone pia. Lakini nafikiri jinsia ya kike inapewa kipaumbele pia au wameitoa na hii siku hizi
 
mkuu dogo kapata D moja tu ya kiswahili nyingne zote F, huyu afanye nini sasa maana me hapa hatj sijampatia jawabu
 
Wakureseat tu huyu maana hata cheti hapati.......MPE moyo
mwenyewe anasema kichwa hakipo sawa, hawezi kusoma for now nikafikiria nimfungulie tigopesa tu, unanishauri arudi shule tu mkuu
 
mkuu dogo kapata D moja tu ya kiswahili nyingne zote F, huyu afanye nini sasa maana me hapa hatj sijampatia jawabu
Huyo kama umri una ruhusu arudie tu mtihani...vinginevyo muulze kwanza yeye anapenda nini kisha mpeleke ufundi akasome anachopenda..
 
Huyo kama umri una ruhusu arudie tu mtihani...vinginevyo muulze kwanza yeye anapenda nini kisha mpeleke ufundi akasome anachopenda..
kwa hzo alama zake vipi anaweza pata nafasi hizi college zetu ndogondogo asomee hata hotel coz kazi sio tatizo, atapata nafasi chuo?
 
mwenyewe anasema kichwa hakipo sawa, hawezi kusoma for now nikafikiria nimfungulie tigopesa tu, unanishauri arudi shule tu mkuu
Km hataki kureseat heshimu tu uamuzi wake wala usimforce....kuna maisha nje ya shule
 
Km hataki kureseat heshimu tu uamuzi wake wala usimforce....kuna maisha nje ya shule
mkuu mimi mwenyewe niliishia form2, alivyosema hivyo nikafikiria kumfungulia biashara coz hata mm ndo zilizonitoa, ila nahtaji ushauri zaidi au kama kwa alama hzo atapata nafasi hivi vyuo vyetu uswazi nimpeleke asomee hotel akimaliza mi namuunganisha fasta
 
Kwa Bongo kila kitu kinawezekana ataweza kusoma kozi za kimagumashi tu ....lakini kwa kanuni mwenye ZIRO hapigi hata certificate zinazotambulika NACTE
 
Kwa Bongo kila kitu kinawezekana ataweza kusoma kozi za kimagumashi tu ....lakini kwa kanuni mwenye ZIRO hapigi hata certificate zinazotambulika NACTE
mi nataka apate ujuzi tu, hayo mengine nitanegotiate na wadau kazi atapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…