betson mkwawa
Member
- Nov 15, 2014
- 69
- 68
Yapo ingieni tovuti ya necta Google tena unachagua mpaka jina LA shule yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu tunadhik iaisee.ila hongera kwa kuidhihisha yako hadharani,naamini cku ya mashujaa jiandae kupewa zawadiiTuma Namba ya form 4 na sh ". 500
Katika hii Namba 0766047815
Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.
Ni uhakika...
Utaratibu wa kufanya mtihani wa six lazima uwe na C tatu.Anaenda advance huyo kashafaulu ila awe ame balance comb tu
Tengeneza combination yoyote ila izae point 10 then iyo itamfaa.
Sio C tatu...sema not more than 10 points kwenye combination.sijui umenielewa mkuu? Yani iko ivi wewe pata upatavyo ila hakikisha credit zako ni kusiwe na F kwanza kweny combination, kisha hesabu credit zako kwa pamoja zinazaa point ngap? Mfano una C tatu, tunajua kila C ni 3 basi itakua 3×3 jumla point 9 hivyo advance inakuhusu, vile vile labda una CCD hapo D tuna jua ni 4 na C ni 3 sasa C mbili jumlisha D moja unapata point 10 tayar advance unakuhusu.Utaratibu wa kufanya mtihani wa six lazima uwe na C tatu.
Tafadha nisaidieni tena msaada mtoto huyu s.782/0050
Acha kumcheka dogo wamemkoseshaHahahaaaa
ndio tayari mkuuSorry mkuu, nilikuwa offline, vp umeyaona?
Mkuu huyu binti kapata C 4 yaani Geo c, kisw c Engl c Bio c na amepata Civ d Hist D na Chem f Maths f combination ya kwanza kuchagua ni CBG HGK HKL HGL je anaweza kupata nafasi form five kwa uchaguzi wake huo? Na Kama chip anaweza kwenda diploma kwa ufaulu wake huoSio C tatu...sema not more than 10 points kwenye combination.sijui umenielewa mkuu? Yani iko ivi wewe pata upatavyo ila hakikisha credit zako ni kusiwe na F kwanza kweny combination, kisha hesabu credit zako kwa pamoja zinazaa point ngap? Mfano una C tatu, tunajua kila C ni 3 basi itakua 3×3 jumla point 9 hivyo advance inakuhusu, vile vile labda una CCD hapo D tuna jua ni 4 na C ni 3 sasa C mbili jumlisha D moja unapata point 10 tayar advance unakuhusu.
Note# usiwe una F kweny combination yako yani mfano una BBF au CCF wewe hapa combination huja balance.
Pili make sure hujapata 4 yani uwe umeanzia div 3 ya 25 kuja div 1 basi criteria hizo utakua umeenda nazo sawa.
Hivyo usikariri kwamba ni C tatu.japo tunakadria kwamba atleast uwe una C tatu utakua una point 9 ambayo inakuruhusu kwenda advance..point mwisho ni 10 mkuu kwa kila combination.
Kwa sababu hawaibi mitihaniElimu bure kabisa mzazi utanunua sare tu na daftari za mwanafunzi!
Maskini
Mzumbe
Kibaha
Pugu
Iliboru
Minaki
Zishakufa hizo bado kuzizika tu
Kwel cha bure kinaumiza
Angalia na idadi ya wanafunzi,Teh teh et hawaibi mitihani cha bure ndo madhara yake hayo mkuu mwakuu shule ya kwanza za serikali ni ya 53 ilboru nategemea mwakani shule za serikali zitaanzia namba 100
Mkuu kombi ilio balance ni lazima isiwe na zaidi ya point 9 yaani CCC ukiweka point 10 hiyo kombi haijabalance yaani CCD ingawa kigezo hicho hutegemea sana mwaka husika kuna mwaka ukiwa na ccd shule za serikali hauwezi kupata ingawa private utaenda vile vile miaka mingine performance ikiwa poor hata ccd anachaguliwa kwenda form five ilimradi tu awe na div 3Mkuu huyu binti kapata C 4 yaani Geo c, kisw c Engl c Bio c na amepata Civ d Hist D na Chem f Maths f combination ya kwanza kuchagua ni CBG HGK HKL HGL je anaweza kupata nafasi form five kwa uchaguzi wake huo? Na Kama chip anaweza kwenda diploma kwa ufaulu wake huo