Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

DOH MA SON DOGO LANGU MSAIDIENI HUYU ANA DIVISION 4 YA 31

CIVICS "D" KISWAHILI"D"
GEO"D"ENGLISH"D"BIOS"F"B/KEEPING'F"COMM"F"HISTORY"F"MATH"F"

HUYU VP CERTIFICATE GANI INAMFAA KURISIT HATAKI?

MAWAZO PLZ
 
DOH MA SON DOGO LANGU MSAIDIENI HUYU ANA DIVISION 4 YA 31

CIVICS "D" KISWAHILI"D"
GEO"D"ENGLISH"D"BIOS"F"B/KEEPING'F"COMM"F"HISTORY"F"MATH"F"

HUYU VP CERTIFICATE GANI INAMFAA KURISIT HATAKI?

MAWAZO PLZ
Mpeleke labda polisi.....au mtafutie biashara afanye
 
PLZ MAWAZO JUU YA JANJA HUYU

CERTIFICATE YA JOURNALISM NA LAW INAMRUHUSU KWA STAIL HII NA VYUO GANI NA KAMA UNA CERTIFICATE NYINGI MSAIDIEN KUMJUZA

CIVIC"D"
KISW"D"
GEO"D"
ENG"D"
MATH"F"
BIO"F"
B/KEEPNG"F"
COMM"F"
HIST"F"

DIVISION 4 YA 31
 
AHAA SI MBAYA SON ILA ANAHITAJI KUSOMA THT Y NIKATAKA USHAUR SIO MZAHA KK INSHU CERTIFICATE IPI NA CHUO GAN
Certificate ya law IJA Lushoto kama atapata nafasi na katika Journalism kuna vyuo kibao mtaani hawezi kukosa kama TIME, DSJ n.k
 
Usemayo ni kweli ila serikali yatakiwa jiangalia zaidi, ilianzisha shule nyingi ila waalimu haikuzalisha, na kama ilizalisha malipo ya hao walimu ni madogo sana hadi kufanya watu kushindwa kufundisha......
Kingine wengi wa failures wa hapa Dar ni kutokana na kuendekeza Starehe, unakuta mdada shule anaenda kucheza mziki tu
Kiukwel madogo wa skuiz hawasomi, walimu wanajitahidi kwa kiasi chao ila mitoto haielewi, kuna shule jiran hapa yani wanafunzi wamepinda hawana habari na shule, ikifika saa nne tu wanatoroka shule, mara wana wawinda walimu wao wawapige mawe yani shida tu mkuu
 
Kuna dogo apa ana physics=D,chemistr=D,mathmatics=D,english=B,mengne hayo yote ana C je huyu kombi zipi ztamfaa...ye anapenda sayansi
Tengeneza combination yoyote ila izae point 10 then iyo itamfaa.
 
Back
Top Bottom