Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Kweli kabisa.Hapo sasa iwe fair kwa wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa.Hapo sasa iwe fair kwa wote
Thanks. I accessed it.Kaizirege
Hawajalipia exam feeSasa katika matokeo wanaoandikiwa *E* manaake nini??
Hajalipia examination fee!!!Kwenye jina la mtoto wangu hakuna matokeo wameandika "e" tu.nini maana yake..????au kapiga Zero.
Huyu alikula ada ya mtihani mkuuKwenye jina la mtoto wangu hakuna matokeo wameandika "e" tu.nini maana yake..????au kapiga Zero.
Hapo kuchaguliwa ngumuhabari zenu wakuu!! nina mdogo wangu jirani hapa kaja muda si mrefu akiwa analia kwa matokeo hayo chini ,mama yke kamtimua ndan kwa kudai alikuwa anacheza school..lkini dogo kaniomba nimsaidie ajue anaweza chaguliwa au vipi? nipo naye mpaka muda huu analia!!
PHYSICS-F
MATHEMATICS-F
CIVICS-D
CHEMISTRY-D
HISTORY-D
GEO-C
KISWAHILI-C
BIO-D
ENG-D
DIVISION -IV POINT 26.
nisaidieni wakuu !!
Pole sana. Ushauri mtafutie kozi asomee CBE kuna kozi nyingi tu. Kurudia ni issue sanaWadau wa jukwaa hili la fikra huru...! Nawasalimu nyote!
Matokeo ya kidato cha nne 2015 ndiyo yameshatangazwa, ufaulu unaonekana kushuka kidogo. Lengo la uzi huu ni kujaribu kupata maoni ya wadau mbalimbali juu ya jinsi ya kuwasaidia wadogo zetu ambao wamepata alama za chini au zisizowapa fursa ya kuendelea na kidato cha tano.
Binafsi, nina mtoto wa dada yangu (Binti), hajafanya vyema sana, amepata div 4. Amepata C ya kiswahili, C ya English na D ya Civics, mengine yote kapata F. Sijui nimsaidieje. Ni kwa mtizamo huu, nimeanzisha uzi huu....ili kupata maoni yenu, kwa faida ya wadogo zetu waliopata matokeo ya mrengo huu...!
Karibuni...tuwaongoze, ninajua wako wengi wenye majanga haya .....comment constructively please!
Asante sana,
PJM.
Hongera zake, kuna shule flani ada zao mamilioni but output zao mdebwedo!Thanx god mdogo wangu wa mwisho amepata KIJITI cha 14 chochote cha kunishauri Mimi kuhusu huyu dogo wakuu S2744/0062.
Shule za binafsi sio ishu hawaangalii kubalansi comb.....Kuna dogo apa ana physics=D,chemistr=D,mathmatics=D,english=B,mengne hayo yote ana C je huyu kombi zipi ztamfaa...ye anapenda sayansi
M1402/0009Weka namb uangaliziwe fasta