Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Unaonaje ungeziandika hapa badala ya kuweka link?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aende ualimu...habari zenu wakuu!! nina mdogo wangu jirani hapa kaja muda si mrefu akiwa analia kwa matokeo hayo chini ,mama yke kamtimua ndan kwa kudai alikuwa anacheza school..lkini dogo kaniomba nimsaidie ajue anaweza chaguliwa au vipi? nipo naye mpaka muda huu analia!!
PHYSICS-F
MATHEMATICS-F
CIVICS-D
CHEMISTRY-D
HISTORY-D
GEO-C
KISWAHILI-C
BIO-D
ENG-D
DIVISION -IV POINT 26.
nisaidieni wakuu !!
...ulitaka apate div. O ndio ufurahi?!, ndugu wengine vichomi kweli.!Nilikuwa na ndugu mmoja tu akisoma shule fulani na yeye kapata division 1 ingawa nina mashaka nayo.... waliofeli poleni sana ila ndo Tanzania
Hizo hapo tayariUnaonaje ungeziandika hapa badala ya kuweka link?
kwa wale ambao hawajaona matokeo ya kidato cha nne 2015 link hiyo hapo
http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/Olevel.htm
au taja number tukutafutie........
Thankx bro.. ..Bravo!Hizo hapo tayari
Mkuu watu wote hum jf wangekuwa na akili kama zako nchi ingekuwa mbali, bigup, watu wa kifel tutafute namna ya kuwafanya waendelee, kufel shule si kufel maisha..
Usemayo ni kweli ila serikali yatakiwa jiangalia zaidi, ilianzisha shule nyingi ila waalimu haikuzalisha, na kama ilizalisha malipo ya hao walimu ni madogo sana hadi kufanya watu kushindwa kufundisha......
Kingine wengi wa failures wa hapa Dar ni kutokana na kuendekeza Starehe, unakuta mdada shule anaenda kucheza mziki tu
Hiyo ya kwanza mbona haipatikani kwenye mtandao wa NECTA. Inatumia jina gani?Shule zilizoongoza matokeo kidato cha NNE
1.Kazirege –Kagera
2.Alliance Girls-Mwanza
3. St Francis Girls-Mbeya
4. Alliance Boys-Mwanza
5. Canossa-DSM
6. Marian Boys-Pwani
7. Alliance Army Rock-Mwanza
8. Feza Girls-DSM
9. Feza Boys-DSM
10. Uru Seminary-Kilimanjaro