Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo list nimeitoa kwenye link aliyoweka mdau humu JFHiyo ya kwanza mbona haipatikani kwenye mtandao wa NECTA. Inatumia jina gani?
Nimeliona nikamezea,mbona hizoo data hapoo juu hazipo systematic asilimia zinazidii
experts wake watakuwa wanatoka chuo cha kata au chuo kikuuu dasalam....!!?? nauliza tu msinikate mapanga wakuuhzo link za bongo zinazingua mkifungua watu watano kwa pamoja tu inagoma. hyo link ya Necta Imezidiwa mzigo jamaniii
Njaa mbaya jamani!!!Tuma Namba ya form 4 na sh ". 500
Katika hii Namba 0766047815
Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.
Ni uhakika...
3.25S4279/0029
Mkuu mbona sielewi maana ya 3.253.25
div three point 253.25
Mkuu kwa matokeo hayo anaweza kwenda hata ualimu?div three point 25
MPE pole dogo letuDuh dogo langu lilikuwa linachonga sana lkn limleta
SIFURI......[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ndo kujiajiri kwenyewe au??Tuma Namba ya form 4 na sh ". 500
Katika hii Namba 0766047815
Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.
Ni uhakika...
KaiziregeHiyo ya kwanza mbona haipatikani kwenye mtandao wa NECTA. Inatumia jina gani?
Nilipata div 3 ya mwisho akachonga na kunicheka...MPE pole dogo letu
Wa DSM nini? Walofaulu ni wa mikoani. Kumiliki cm mpaka wamalize sixDuh dogo langu lilikuwa linachonga sana lkn limleta
SIFURI......[emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mimi mdogo wangu amekataa kunipa namba yake. Natamani warudishe ile system ya majina kama zamaniNilipata div 3 ya mwisho akachonga ni kunicheka...
Hata pole simpi !!!!!
Safi sana Ndalichako kwa kurudisha mfumo wa division
Tuheshimiane kitaa sasa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ndo mana'keWa DSM nini? Walofaulu ni wa mikoani. Kumiliki cm mpaka wamalize six
Hapo sasa iwe fair kwa wote[emoji2] [emoji2] [emoji2] mimi mdogo wangu amekataa kunipa namba yake. Natamani warudishe ile system ya majina kama zamani