Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

S.1009/102
mbona mnaibiwa na matokeo yenu kusambazwa wakati hata majina hawayapati?
fanya yafuatayo
  1. link umepewa http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/Olevel.htm
  2. ikifunguka binyeza Ctrl(Control buttin) papo hapo na F kwa pamoja patatokea kisanduku chini kulia jaza namba ya shule
  3. ukiipata hiyo shule tafuta namba zako au tena Ctrl+F utaona matokeo

S1009 BABATI DAY SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 5; DIV-III = 10; DIV-IV = 64; DIV-0 = 89

CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S1009/0001

F

35

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1009/0002

F

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
 
Tulitaka mahouse gelo sasa tumewapata

Huu ni mzigo kwetu sote, hapa inatakiwa wasomi na wadau wa elimu pamoja na wapenda maendeleo ya watanzania wote kwa ujumla kunoa vichwa kutafuta namna ya kuwawezesha hao failures kuendelezwa kwenye nyanja zingine kama ufundi nk, si kweli kuwa waliofeli hawana akili kuna factors nyingi za kutazama,
 
Tuma Namba ya form 4 na sh ". 500

Katika hii Namba 0766047815

Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.

Ni uhakika...
 
Huu ni mzigo kwetu sote, hapa inatakiwa wasomi na wadau wa elimu pamoja na wapenda maendeleo ya watanzania wote kwa ujumla kunoa vichwa kutafuta namna ya kuwawezesha hao failures kuendelezwa kwenye nyanja zingine kama ufundi nk, si kweli kuwa waliofeli hawana akili kuna factors nyingi za kutazama,
Usemayo ni kweli ila serikali yatakiwa jiangalia zaidi, ilianzisha shule nyingi ila waalimu haikuzalisha, na kama ilizalisha malipo ya hao walimu ni madogo sana hadi kufanya watu kushindwa kufundisha......
Kingine wengi wa failures wa hapa Dar ni kutokana na kuendekeza Starehe, unakuta mdada shule anaenda kucheza mziki tu
 
Huu ni mzigo kwetu sote, hapa inatakiwa wasomi na wadau wa elimu pamoja na wapenda maendeleo ya watanzania wote kwa ujumla kunoa vichwa kutafuta namna ya kuwawezesha hao failures kuendelezwa kwenye nyanja zingine kama ufundi nk, si kweli kuwa waliofeli hawana akili kuna factors nyingi za kutazama,
Mkuu watu wote hum jf wangekuwa na akili kama zako nchi ingekuwa mbali, bigup, watu wa kifel tutafute namna ya kuwafanya waendelee, kufel shule si kufel maisha..
 
Heshima kwa Ndalichako, dah watoto wameangaika na Merit sijui distinction final kawarudisha kwenye division na hakuna B+
 
habari zenu wakuu!! nina mdogo wangu jirani hapa kaja muda si mrefu akiwa analia kwa matokeo hayo chini ,mama yke kamtimua ndan kwa kudai alikuwa anacheza school..lkini dogo kaniomba nimsaidie ajue anaweza chaguliwa au vipi? nipo naye mpaka muda huu analia!!
PHYSICS-F
MATHEMATICS-F
CIVICS-D
CHEMISTRY-D
HISTORY-D
GEO-C
KISWAHILI-C
BIO-D
ENG-D

DIVISION -IV POINT 26.
nisaidieni wakuu !!
 
Heshima kwa Ndalichako, dah watoto wameangaika na Merit sijui distinction final kawarudisha kwenye division na hakuna B+
wadogo zetu walikuwa bado wadogo kuwekewa hizi marks waliwafoc sana kiupeo
 
mbona mnaibiwa na matokeo yenu kusambazwa wakati hata majina hawayapati?
fanya yafuatayo
  1. link umepewa http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/Olevel.htm
  2. ikifunguka binyeza Ctrl(Control buttin) papo hapo na F kwa pamoja patatokea kisanduku chini kulia jaza namba ya shule
  3. ukiipata hiyo shule tafuta namba zako au tena Ctrl+F utaona matokeo

S1009 BABATI DAY SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 5; DIV-III = 10; DIV-IV = 64; DIV-0 = 89

CNO

SEX

AGGT

DIV

DETAILED SUBJECTS

S1009/0001

F

35

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1009/0002

F

34

0

CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
Wengine tunatumia simu je tutayapata, maana simu yangu haina hiyo control button
 
Back
Top Bottom