Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

DUH HALI INATISHA JMN,hiyo ni ecosystem ya mtaani wakifaulu ote nan atajiri na nan ataajiriwa?lazima awepo bwana na mtumwa ht ivo wasomi wengi pakiw na balance km ivo freshhhhh
 
House gelos, boda boda, wapiga debe, mama ntilie wanaongezeka kwa kasi
 
#Habari:Baraza la mitihani
nchini Necta limetoa matokeo
ya kidato cha nne ya mwaka
2015 kwa kutumia mfumo wa
Division badala ya GPA
ambapo ufaulu umeshuka
kutoka asilimia 69.75 2014
hadi asilimia 67.91,2015.
Na shule zilizofanya vizuri pia zipo Tanga na pwani,full kusoma.
Link tafadhali

Morogoro mmetisha....shule nne za mwisho zimetinga

Ningeshangaa pwani na tanga kusiwe na shule ya mwisho... full kukata mauno badala ya kusoma
 
Nilikuwa na ndugu mmoja tu akisoma shule fulani na yeye kapata division 1 ingawa nina mashaka nayo.... waliofeli poleni sana ila ndo Tanzania
 
Back
Top Bottom