Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

Kufeli mtihani siyo kufeli maisha. Na kufaulu mtihani haina maana kuwa mtoto ana akili bali uwezo mkubwa wa kukariri hasa kwa elimu yetu ya Tanzania. Ndiyo maana tuna wanaoitwa wasomi wengi lakini uwezo wao wa kufikiri ni zero. Kwahiyo mliofeli mitihani pambaneni na maisha na mwisho wa siku mtakuja kuwaajiri walio faulu kwa sasa.
 
Wataalamu wa elimu bado wako kazini ila muda si mrefu natumai watafika hivo endelea kusubiri usikate tamaa utasaidiwa.
 
Tuma Namba ya form 4 na sh ". 500

Katika hii Namba 0766047815

Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.

Ni uhakika...
 
House gelos, boda boda, wapiga debe, mama ntilie wanaongezeka kwa kasi
Kuna wenye degree wanafanya hizo kazi except makonda tu. So, fikiri kabla huja....!
 
Tuma Namba ya form 4 na sh ". 500

Katika hii Namba 0766047815

Baada ya DK 2 utapata matokeo yako.

Ni uhakika...
 
Back
Top Bottom