Katika kile ambacho kinaitwa standardazation ya results mwaka 2012-form 4,mimi naweza kuthubutu kusema kuwa wao ndio ambao wamekariri mtihani upya...baada ya serikali kutaka matokeo yapangwe na kusahihishwa upya kutokana na ubovu wa matokeo hayo kutawaliwa na 0 nyingi karibia 65%.
kama kawaida wanajamvi naombeni tutoe maoni yetu tena kuhusu mustakabali wa taifa kielimu
Naomba kuwakilisha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums