Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.
walivyofanya ni sahihi ili wakosa kazi kama wewe washindwe kucheka wenzao
Mwanaasha aliadhirka sana mwaka jana
Ni sahihi zaidi ili walalamishi washindwe cha kulalamikia katika hiliwalivyofanya ni sahihi ili wakosa kazi kama wewe washindwe kucheka wenzao
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.
Walivyo fanya siyo sahihi kwasababu mfano» Baba yupo mbali na mwanae na anataka kuangalia matokeo ya mwanae halafu hajui namba! huku ukiangalia toto lake ni tukutu si anaweza akampa namba ya uwongo sasa itakuaje hapo!!!
Hii ni kuepuka ulalamishi wa Taasisi za Kiislamu wanaodhani kila anayeitwa Juma ni Muislamu, ila majini ya shule hayana kificho, shule za kanisa ndio zipo kwenye Top ten, na zile za Taasisi za kiislamu zipo kwenye top failureHii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.
Nasema hivi kwa kuwa miaka yote ya nyuma ilituwezesha kujuana ktk uwezo wetu darasani na ilikuwa sio rahisi kumubeba mwanafunzi asiye jiweza darasani. Sasa kwa staili hii ya kuandika no pekee inaweza kuwafanya watumishi wa Baraza kuweka hata watoto/ndugu zao ambao hawakufaulu. Au hili swala limejitokeza kwa vile mwaka jana mtoto wa Rais alikuwa wa mwisho shule nzima kwa kupata dv 4. Ili tusijue aliye faulu alikuwa na uwezo gani darasani? Naomba nifafanuliwe ili nijue kuna siri gani iko hapo.
Hii iko sawa kabisa kuna mijitu kazi yao kufatilia matokeo ya watoto wa wenzao ili wapate la kuongea, safi sana wizara.