Baraza la mitihani wawajibishwe

Baraza la mitihani wawajibishwe

shule za kikristo zitaendelea kukimbiza sana hapa bongo kutokana na mfumo mzuri wa elimu ktk shule husika.....
kadri mnavyoendelea kulalamika ndo shule zenu ( za kiislam) zitaendelea kuburuza mkia daily!!

na ndo mnazidi kuwapelekea watoto wenu ku loose confidence wakijua hawatendewi haki....

shauri yenu!!

the magnificient!!
 
Jamani ninyi waislamu acheni ubaguzi,kila kitu mnaonewa,tangu zamani mlikuwa mnasoma Quruan tu na kukaa kwenye mikeka elimu dunia hamkuithamini mnakumbuka shuka kumekucha, juzi mnachoma makanisa moto tumenyamaza ingekuwa msikiti ndo umechomwa moto sipati picha jinsi ambavyo mngeandamana na kujilipua ovyo,poa tu ngoja mtupelekeshe lakini muumba wa vyote Mungu1 nafsi tatu yu HAI atatupigania!
 
Back
Top Bottom