Baraza la mtihani NECTA liweke awamu kwa wanaorudia mtihani ya kidato cha nne

Baraza la mtihani NECTA liweke awamu kwa wanaorudia mtihani ya kidato cha nne

Anana_

New Member
Joined
Dec 3, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari za muda huu,

Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu..

Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya NECTA kwa wanaorudia(Private Candidate) kufanyika walau mara mbili kwa mwaka May na November?

Ili walau watakaofaulu May waweze kuingia chuo October, kuliko kusubiri tena mwaka mzima jamani.
 
Back
Top Bottom