kurudia mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  2. Anana_

    JamiiForums Tanzania Baraza la mtihani NECTA liweke awamu kwa wanaorudia mtihani ya kidato cha nne

    Habari za muda huu, Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu.. Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya NECTA kwa wanaorudia(Private Candidate) kufanyika walau mara mbili kwa mwaka May na November? Ili...
Back
Top Bottom