KERO Baraza la NACTEVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing Chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025.

Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa kwanini walitoa vyuo vingine na kuacha chuo kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…