My point exactly! Maana hata sikumbuki kazi yake ya mwisho aliifanya liniSasa Jamaa usanii si alishaachaga muda mrefu tu
Waliemfungia
Mama Amon uko vizuri.
Nimeona tamko, na ningependa kufanya comment mstari baada ya msitari kama ifutavyo:
Mosi, BASATA wanasema:
View attachment 1034718
Aya hii ni taarifa, na haina lolote la kujadili kwani mamlaka hayo yako ndani ya uwezo wa kisheria wa BASATA.
Pili, BASATA wanasema:
View attachment 1034719
Hapa kuna kuna tatizo. Kukamatwa na Jeshi la Polisi ni kutuhumiwa. Kutuhumiwa sio kuhukumuiwa. Katiba ya nchi inasema kila mtu anayo haki ya kuhesabiwa mwenye haki mpaka mahakama inapomtia hatiani. Dudubaya hajatiwa hatiani na mahakama. Kwa hiyo, uamuzi wa BASATA unaweza, na unapaswa kufanyika, baada ya hukumu ya mahakama na sio kabla yake. Kwa hiyo, aya hii inamaanisha kuwa BASATA wamefanya maamuzi yanayokiuka Katiba ya nchi.
Tatu, BASATA wanasema:
View attachment 1034720
Aya hii inaendeleza kosa lililofanyika aya ya hapo juu. Kwamba Dudubaya ni "raia mwema" au kinyume chake ni suala la kuamuliwa na mahakama na sio vingnevyo. BASATA walipaswa kusbiri maamuzi ya mahakama ili wachukue hatua hii. Lakini wameitangulia mahakama. Wamekosea.
Na nne, BASATA wanasema,
View attachment 1034721
Aya hii imekaa kiswahili kweli kweli. Kwamba kuna Watanzania wengi "waliojitokeza kukemea kitendo cha Msanii Dudubaya" kwa sababu wanaona "hakifai," haimaanishi kwamba mahakama imetoa hukumu ya kisheria. Kisheria tunasema "plausibility does not imply validity." Kwa hiyo, BASATA wametumia sheria za mitaani kana kwamba ni sheria za kimahakama. Wamekosea.
Hivyo, naona kwamba, BASATA wanaendeleza utamaduni mpya wa baadhi ya vyombo vya serikali "kufanya kazi kwa mujibu wa matamko ya wakubwa" badala ya kuangalia sheria inasema nini. Utamaduni huu haukubaliki kwa Watanzania wanaojua na kuheshimu kanuni za utawala bora.
Kanuni moja ya utawala bora ni kanuni ya usawa mbele ya sheria.
Yaani, "the same law should apply to like persons in like circumstances."
BASATA wamezingatia kigezo hiki ? Hapana
Na bahati nzuri ni kwamba, Waziri wa Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe, ni Mwanasheria Nguli. Nimesoma PHD Thesis yake yote. Yuko safi kichwani. Pia ni mlokole mzuri. Wengi tuliona alivyousindikiza mwili wa hayati Samwel Sitta kwa mbwembwe tosha za machozi ya Kilokole. Tunataka imani yenye vibwagizo vya matendo.
Ama sivyo, tutahitimisha kwamba ulokole ule ulikuwa ni usanii, na usanii sio taji lenye heshima kwa mtu mwenye umri kama wa Dr. Harrison Mwakyemba.
Mama Amon.
Safi sanaBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kusitisha usajili wa Msanii Godfrey Tumaini (Dudubaya) kuanzia leo tarehe 28/02/2019
View attachment 1034722
Sent using Jamii Forums mobile app
umesomeka tatizo lipo kwenye hii enzi ya 5 sheria kwao ni takataka ila matamko yao ndio shelia.
Nimeona tamko, na ningependa kufanya comment mstari baada ya msitari kama ifutavyo:
Mosi, BASATA wanasema:
View attachment 1034718
Aya hii ni taarifa, na haina lolote la kujadili kwani mamlaka hayo yako ndani ya uwezo wa kisheria wa BASATA.
Pili, BASATA wanasema:
View attachment 1034719
Hapa kuna kuna tatizo. Kukamatwa na Jeshi la Polisi ni kutuhumiwa. Kutuhumiwa sio kuhukumuiwa. Katiba ya nchi inasema kila mtu anayo haki ya kuhesabiwa mwenye haki mpaka mahakama inapomtia hatiani. Dudubaya hajatiwa hatiani na mahakama. Kwa hiyo, uamuzi wa BASATA unaweza, na unapaswa kufanyika, baada ya hukumu ya mahakama na sio kabla yake. Kwa hiyo, aya hii inamaanisha kuwa BASATA wamefanya maamuzi yanayokiuka Katiba ya nchi.
Tatu, BASATA wanasema:
View attachment 1034720
Aya hii inaendeleza kosa lililofanyika aya ya hapo juu. Kwamba Dudubaya ni "raia mwema" au kinyume chake ni suala la kuamuliwa na mahakama na sio vingnevyo. BASATA walipaswa kusbiri maamuzi ya mahakama ili wachukue hatua hii. Lakini wameitangulia mahakama. Wamekosea.
Na nne, BASATA wanasema,
View attachment 1034721
Aya hii imekaa kiswahili kweli kweli. Kwamba kuna Watanzania wengi "waliojitokeza kukemea kitendo cha Msanii Dudubaya" kwa sababu wanaona "hakifai," haimaanishi kwamba mahakama imetoa hukumu ya kisheria. Kisheria tunasema "plausibility does not imply validity." Kwa hiyo, BASATA wametumia sheria za mitaani kana kwamba ni sheria za kimahakama. Wamekosea.
Hivyo, naona kwamba, BASATA wanaendeleza utamaduni mpya wa baadhi ya vyombo vya serikali "kufanya kazi kwa mujibu wa matamko ya wakubwa" badala ya kuangalia sheria inasema nini. Utamaduni huu haukubaliki kwa Watanzania wanaojua na kuheshimu kanuni za utawala bora.
Kanuni moja ya utawala bora ni kanuni ya usawa mbele ya sheria.
Yaani, "the same law should apply to like persons in like circumstances."
BASATA wamezingatia kigezo hiki ? Hapana
Na bahati nzuri ni kwamba, Waziri wa Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe, ni Mwanasheria Nguli. Nimesoma PHD Thesis yake yote. Yuko safi kichwani. Pia ni mlokole mzuri. Wengi tuliona alivyousindikiza mwili wa hayati Samwel Sitta kwa mbwembwe tosha za machozi ya Kilokole. Tunataka imani yenye vibwagizo vya matendo.
Ama sivyo, tutahitimisha kwamba ulokole ule ulikuwa ni usanii, na usanii sio taji lenye heshima kwa mtu mwenye umri kama wa Dr. Harrison Mwakyemba.
Mama Amon.
Wewe Na elimu yako ya darasa la 6.

Unajua vifungu vyote vya sheria mkuu???Kosa linaweza likaonekana tu kwa mujibu huo huo wa sheria...Dudu baya wakiamua kufukua makaburi amefanya makosa mengi sana ya kimtandao labda wasitake tu kumshughulikia...Kwa kosa lipi kisheria?.Kisheria Dudubaya hana kosa,ila kimaadili kweli alikosea.
Lissu sio Marehemu!Serikali ipo sahihi ilivyofanya,
Lakini mbona Musiba amemdhihaki Sana Lisu haijachukua hatua?
Msome anayejua sheria.Makaburi yapi?.Unajua vifungu vyote vya sheria mkuu???Kosa linaweza likaonekana tu kwa mujibu huo huo wa sheria...Dudu baya wakiamua kufukua makaburi amefanya makosa mengi sana ya kimtandao labda wasitake tu kumshughulikia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa mkuu!!!Sibishanii uhalali wa kosa lake kisheria. ...Msome anayejua sheria.Makaburi yapi?.View attachment 1034969
😀Naona watakuwa wanapekua vitabu vyao vya sheria ukurasa wa kwanza hadi mwisho....wanarudia rudia kuona anaangukia kwenye kosa lipi.....
[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi toka amvunje kiuno Mr Nice ana nyimbo gani zaidi ya Kiki.
Aliacha au sanaa ndio ilimuacha?Sasa Jamaa usanii si alishaachaga muda mrefu tu