BundukiNi Teremsha Bemdera ama Teremsha Bunduki?
Acheni roho zakichawi nyie viumbeBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa kutumika kwenye vyombo vya habari na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii hadi pale utakapofanyiwa marekebisho yanayokidhi masharti ya Baraza hilo.
Pia Sikiliza: Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶
Ndiyo wameuongezea umaarufu.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa kutumika kwenye vyombo vya habari na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii hadi pale utakapofanyiwa marekebisho yanayokidhi masharti ya Baraza hilo.
Pia Sikiliza: Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶
Nilikuwa sijui chochote ngoja nikausake🤗🤗🤗🤗Ndiyo wameuongezea umaarufu.
Wameupaisha vibaya sana.Nilikuwa sijui chochote ngoja nikausake🤗🤗🤗🤗
Hivi huwa mna maana gani kuandika habari ndani ya habari ya mtu mwingine? Kwanini usichangie maoni yako au kuanzisha thread nyingine ktk Uzi wako ili kuondoa unnecessary information ambazo zimeshaelezwa na mwenye Thread husika?BASATA wameufungia wimbo wa Roma 'Teremsha bunduki'.
Katika wimbo huo Roma amekemea matusi ya nguvu kupita kiasi ya polisi dhidi ya raia na waandamanaji
Na amesisitiza kuwa viongozi hawawakumbuki askari wa chini ambao nao wana shida kama au zaidi ya wananchi wanaowapiga
BASATA wamezuia wimbo huo usipigwe popote iwe redioni, tv, au kwenye kumbi za starehe
View attachment 3491462
Mods wanaunganisha Nyuzi.Hivi huwa mna maana gani kuandika habari ndani ya habari ya mtu mwingine? Kwanini usichangie maoni yako au kuanzisha thread nyingine ktk Uzi wako ili kuondoa unnecessary information ambazo zimeshaelezwa na mwenye Thread husika?