Wimbo Wa maandamano ndio kwanza wameupa kikiBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa kutumika kwenye vyombo vya habari na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii hadi pale utakapofanyiwa marekebisho yanayokidhi masharti ya Baraza hilo.
Pia Sikiliza: Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶
Hiyo comments ni independent thread mode wameiunganisha.Hivi huwa mna maana gani kuandika habari ndani ya habari ya mtu mwingine? Kwanini usichangie maoni yako au kuanzisha thread nyingine ktk Uzi wako ili kuondoa unnecessary information ambazo zimeshaelezwa na mwenye Thread husika?
Wanapenda zile zinasema tia mate niteleze kama kambale.Nyimbo za mashoga zinaachwa watoto wadogo mtaani wanaimba...
Nchi hii inawapa kipaumbele mashoga kuliko marijali
Ni kwa kuwa nchi hii imejaa machawa na uchawa wa mafisadi wanamtandao na majizi,hivyo mawazo ya hovyo na uonga ya kiachwa hatimaye utakuwa utamaduni wa taifa hili hivyo kunyooshana ni jambo barabaraaa!Hivi huwa mna maana gani kuandika habari ndani ya habari ya mtu mwingine? Kwanini usichangie maoni yako au kuanzisha thread nyingine ktk Uzi wako ili kuondoa unnecessary information ambazo zimeshaelezwa na mwenye Thread husika?
Hawa mazafakaz wanasigina constitutional rights za watu. Where’s the freedom of speech?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa kutumika kwenye vyombo vya habari na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii hadi pale utakapofanyiwa marekebisho yanayokidhi masharti ya Baraza hilo.
Pia Sikiliza: Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶
Bora umesema maana huwa naona ni kero kweli.Hivi huwa mna maana gani kuandika habari ndani ya habari ya mtu mwingine? Kwanini usichangie maoni yako au kuanzisha thread nyingine ktk Uzi wako ili kuondoa unnecessary information ambazo zimeshaelezwa na mwenye Thread husika?
Ni wapumbuvu walioendekeza uchawa, wanataka tu waonekane kuwa wanampambani bi Urojo.Wanafungia mvua wakati hawana umiliki na mawingu???
Wimbo uko mtandaoni wanaufungia?
Wanataka wote muwe mashoga ili wawatawale vizuri, ndio maana wanasema hio 29 October hakuna wa kuandamana sababu wanajua wanaongoza mashoga wasioweza kufanya lolote, nchi imejaa bajaj na bodaboda kila seehemu na viongozi wanajisifia kwamba wanafanyaje?Nyimbo za mashoga zinaachwa watoto wadogo mtaani wanaimba...
Nchi hii inawapa kipaumbele mashoga kuliko marijali
Mimi ndio nimepokea taarifa ya huo wimbo kutoka BASATA nimeupakua tayari nausikilizaNdiyo wameuongezea umaarufu.
The Streisand effectNdiyo wameuongezea umaarufu.