........Kwa kadiri unavyokataza au kuficha ficha au kupiga marufuku au kuzuia jambo fulani lisionekane au lisisikike ndivyo ambavyo watu hufanya juhudi kubwa kutaka kuliona au kulisikia kwanini linakatazwa......?
Kama hawajui, basi ni wajinga na wapumbavu kabisa hawa...
Mimi mwenyewe nilikuwa sijausikia kabisa huu wimbo lakini baada ya kuona tangazo lao hili ilibidi kuusaka kwenye social medias mpaka nikauona na kuusikiliza..
Kusema ukweli ni wimbo mzuri sana unao reflect social reality ya sasa. Huu ni ubunifu na utunzi mahiri kabisa toka kwa msanii Bora na mahiri..
Kongole Roma Mkatoliki. This is the hottest hit of all times..💪💪👇