Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣Kwelo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kwelo
Achi wivo wewe. Unataka akale wapi, mbona wengino wanaimbo matusi na hujawakemeaBaraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha...
Wewe unavyoona anachokifanya ni sahihi?Dah, ndo jambo la maana uliloliona mkuu?
wamshughulikie.Kwelo
😂😂😂😂😂😂😂Mia tano anakwambia "mia tino"
😃😃😃😃😃
Unajua bambo kaanza usanii mwaka Gani?Wewe unavyoona anachokifanya ni sahihi?
Wewe unavyoona anachokifanya ni sahihi?Achi wivo wewe. Unataka akale wapi, mbona wengino wanaimbo matusi na hujawakemea
2001 kama sio na 2Unajua bambo kaanza usanii mwaka Gani?
Kama nani?Achi wivo wewe. Unataka akale wapi, mbona wengino wanaimbo matusi na hujawakemea
Wewe mwenyewe unaharibu matumizi ya kiswahili, unajua kijana ni mtu wa umri gani? Bambo bado ni kijana?Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Wewe unamuona ni mzee?Wewe mwenyewe unaharibu matumizi ya kiswahili, unajua kijana ni mtu wa umri gani? Bambo bado ni kijana?
In Bambo voiceKwelo
Unataka tuanze kuwataja mkuu?Kama nani?