frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
kwani kuna shido
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulielewa nilichokisema lakini? Au ndo maana unashindwa kuelewa kazi ya sanaa ya Bambo?? Ni sahihi mimi nije dukani kwako kununua kilo ya mchele nikuulize bei unitajie ni dola 1.04?? Bajeti ya kitanzania inatakiwa pesa tuambiwe wamelipa kiasi cha dola au thamani yake itajwe kwa tsh??Dola ni neno la kiswahili, limetoholewa kutoka neno dollar ,ni sawa na mengine yaliyotoholewa kama vile shule, ,hela nk.
hatakiwi kupotosha, yeye awe mstari wa mbele kufanya vitu vilivyo sahihiBambo ni msanii, na msanii ni kioo cha jamii.
Wakitaja kwa mfumo wa dola ndio wameharibu kiswahili?Ulielewa nilichokisema lakini? Au ndo maana unashindwa kuelewa kazi ya sanaa ya Bambo?? Ni sahihi mimi nije dukani kwako kununua kilo ya mchele nikuulize bei unitajie ni dola 1.04?? Bajeti ya kitanzania inatakiwa pesa tuambiwe wamelipa kiasi cha dola au thamani yake itajwe kwa tsh??
Ndiyo. Pesa yetu syo ya dola (taja tumelipa dola kadhaa ni sawa na pesa ya kitanzania sh kadhaa). Hiyo ni bajeti ya nchi brazaWakitaja kwa mfumo wa dola ndio wameharibu kiswahili?
Yeya kama msanii ameakisi kile kinachotokea kwenye jamii, yaani amewasanua raia wasiojua nini kinahapen pande zao kule Songea.hatakiwi kupotosha, yeye awe mstari wa mbele kufanya vitu vilivyo sahihi
HataruView attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Chaiiiii☕View attachment 3019674

Akae chonjo awapishe wenzake.Naunga mkono,
Kazi ya msanii ni lazima iende samabamba katika kuimarisha lugha yetu ya asili si kuharibu.
Kama hana namna nyingine ya kufanya sanaa yake akae pembeni.
Anitwa Komfyubasi semagusi, zinkongili na zinkongili, niritrito no sarendoView attachment 3019674
Dickson Samson Makwaya (Bambo)
Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi.
Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha.
Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka hata wimbo wa Sumalee (Hakunaga) ilibaki hati hati kufungiwa kwa kosa la kuharibu lugha .
Yeye kama msanii ni kioo cha jamii hivyo anatazamwa na wengi, sasa kama yeye anaanza kuharibu lugha inamaanisha wengi atawapoteza haswa kwa wale wageni wasiofahamu vyema lugha ya kiswahili na Wana nia ya kujifunza.
Mkuu uwe unaangalia madhumuni nasio kuhukumu tu😂.....ange kuwa anaongea Ivo akiwa anafundisha apo sawa ila Kwa lengo la kuchekesha sioni kama kunashidaaa....View attachment 3019674