Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

Kwani Kuna shido
 
Una shido wewe
 
Binafsi kwa tz kuna mambo mhimu ya kudeal nayo, yenye tija kwa kizazi cha leo na kesho

Jambo mhimu ni uchumi kwa vijana wa leo ambao ni taifa la kesho

Kwa mnaohisi Kiswahili cha bambo ni kikwazo endeleeni kukipigania kiswahili chenu
 
Acha wivu hiyo comedy ndo inamfanya alishe familia yake
 
ngoja nimsaidie mtoa mada hivi umewahi kufika mkoa wa Ruvuma hasa wilaya ya songea eidha mjini au vijijini au wilaya ya mbinga basi acha nikuambie utakutanan na maelfu ya kina bambo na sio kwamba wanafanya kusudi ni rafudhi kama ilivo kisukuma kichaga kimakimakonde na kadhaliko so bambo nae ni mtu asili ya huko hata neno bambo ni neno lenye maana ya rafiki / ndugu karibu tutembee tanzania tujionee mengi mazuri ya kujifunza na kufurahia ikiwemo rafudhi za maeneo mbalimbali
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…