king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
Mkuu ahsante kwa kuonesha tofauti hiyo. Tatizo natumia LIKE ningekugongea CELLULAR.Wakuu huyu si Jason Bourne mliye mzoea huyu ni Jasonbourne! ametumwa kuvuruga wasomaji kwa kumwaga upupu! Kwanini mods wanaruhusu tofauti ya space kama ID mpya? Rekebisheni haraka ID ziwe na tofauti ya wazi!
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:
1. Je limeundwa lini?
2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?
3. Je Zanzibar wamo au hawamo?
4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?
5. wanakutana mara ngapi?
6. mwenyekiti wao ni nani?
7. Katibu wao ni nani?
8. Wanaripoti kwa nani?
9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?
10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?
11. je website yao ni ipi?
lipo na linafanya kazi; mara ya mwisho tulisikia tamko la baraza la usalama wakati ile meli ilizama zanzibar (is slander).... Tamko lilisomwa na katibu mkuu kiongozi..... Kwa hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao
1. Rais.....
2.katibu mkuu kiongozi...
3....................
4.....................
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:
1. Je limeundwa lini?
2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?
3. Je Zanzibar wamo au hawamo?
4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?
5. wanakutana mara ngapi?
6. mwenyekiti wao ni nani?
7. Katibu wao ni nani?
8. Wanaripoti kwa nani?
9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?
10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?
11. je website yao ni ipi?
hapo nilipo bold-mbona sasa hawafanyi hivyo?...nitoe mwongozo ktk masuala haya ya kiintelenjensia:
1. Baraza la Usalama wa Taifa (National Security Council) ni chombo kilichoundwa na Bunge mwaka jana (2010) kwa sheria kamili.
2. Wajumbe
. Rais wa Tanzania (Chairman)
. Makamu wa Rais wa Tanzania
. Rais wa Zanzibar
.Katibu Mkuu kiongozi wa Zanzibar (...kwa sasa ni Makamu wa Rais wote wale wawili wa Zanzibar)
.Waziri Mkuu wa Tanzania (Secretary)
Ni chombo maalumu cha JUU KABISA cha kushugulikia jambo lolote linalohatarisha au linalotaka kuharibu Usalama kwa RAIA WA TANZANIA
Baraza huketi kwa wakati uliomuliwa na linaweza kumwita na kumshirikisha/kuwashirikisha VIONGOZI wengine wowote kulingana na suala ambalo linajadiliwa pale, hiyo ndiyo tutakuwa tumesema kwamba, chombo hiki ni cha Kitaifa kwa sababu wanaokaa pale ni wale Viongozi wa Kitaifa.