Baraza la Usalama la Taifa

Baraza la Usalama la Taifa

Wakuu huyu si Jason Bourne mliye mzoea huyu ni Jasonbourne! ametumwa kuvuruga wasomaji kwa kumwaga upupu! Kwanini mods wanaruhusu tofauti ya space kama ID mpya? Rekebisheni haraka ID ziwe na tofauti ya wazi!
Mkuu ahsante kwa kuonesha tofauti hiyo. Tatizo natumia LIKE ningekugongea CELLULAR.
 
We should not discuss who constitute the council as the institution was formed to work secretly and with undisclosed personnel,
It is our right to discuss whether the council will have any impact to incidents purpoted to endanger the well being of our nation.
 
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:

1. Je limeundwa lini?

2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?

3. Je Zanzibar wamo au hawamo?

4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?

5. wanakutana mara ngapi?

6. mwenyekiti wao ni nani?

7. Katibu wao ni nani?

8. Wanaripoti kwa nani?

9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?

10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?

11. je website yao ni ipi?

Nimewaona kuleee Kilimo Kwanza.
Ngoja nikanywe maji miye!
 
Jason Bourne......Mhh!! Brings back memories Bourne: Supremacy/Identity
...kind of like the way 'Wambozi' was taken down....
Mkuu, hebu hayo mengine tuyaache tu,tuzungumze haya mepesiX2!!
 
Unaongelea watu au kitu?Mbona hukuuliza nini kilimleta Prince Charles hata Tanzania?coz there interest are the same!
 
lipo na linafanya kazi; mara ya mwisho tulisikia tamko la baraza la usalama wakati ile meli ilizama zanzibar (is slander).... Tamko lilisomwa na katibu mkuu kiongozi..... Kwa hiyo kwa haraka haraka wajumbe watakuwa wafuatao
1. Rais.....
2.katibu mkuu kiongozi...
3....................
4.....................

naona kama unachanganya na kamati ya usalama ya bunge hiyo ndiyo ilitoa tamko
 
Ehhee naona kimeeleweka kuna aina tatu za watu moja wasiojua kinachotokea,wanaoshangaa kinachotokea na wale wanaosababisha hayo yatokee [Those who wonder what happen,those who dont know what happen and those who make things happen].Walilete tu ndicho kinachotakiwa kwa sasa kwanza ni kama wamechelewa sana.
 
WAKUU hapo napumua kidogo maana mazito haya,labda mtoa hoja akiendelea kwalile alilokusudia tunaweza kuja na cha kusema.
 
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja hawa watu wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko sasa kabla hatujaenda mbali kuna mtu anajua:

1. Je limeundwa lini?

2. na wajumbe wake wanapatikana vipi?

3. Je Zanzibar wamo au hawamo?

4. Je inabidi wawe na qualifications zipi?

5. wanakutana mara ngapi?

6. mwenyekiti wao ni nani?

7. Katibu wao ni nani?

8. Wanaripoti kwa nani?

9. je washatoa maamuzi yepi zazito yanayohusu nchi hii tangu liundwe?

10. je ripoti zao (gongo la mboto, pirates, meli kuzama zanzibar etc) ziko wapi?

11. je website yao ni ipi?

Wakuu wapendwa wa jamii forum. Baada ya kuona post ya mdau mmoja humu ndani, ilinibidi nifanye ka-uchunguzi kidogo kubaini jambo hili nitakalosema. Ni kwamba "Jasonbourne" huyu ni tapeli wa kuogopwa kwani status yake ni Member 2 na kwa kuwa natumia simu sikuweza kujua kajiunga lini jukwaani. Ukweli ni kwamba "Jason bourne" tuliyemzoea yeye ni Jf Senior Expert Member.
Nawasilisha.
 
Watu wangastuka na machale kundesa...

Kumbe huyu mleta thread cyo yule JB 2liyemzoea??
Naona huyu amekuja kuchafua hali ya hewa hapa.
 
Mhm!!
Mimi kwa kuhisi kama siyo kudhani!!
=Mwenyeketi direct ni Nyerere!aghh sorry Rais!
=Makamu wa Rais JMT
=Waziri Mkuu JMT
=Mkuu wa majeshi ya usalama,
=Mkuu wa jeshi lapolisi
=Mkuu wa Usalama
=Rais wa Zanzibar
=Waziri Kiongozi zanzibar(Makamu wa rais)
=Wajumbe;-
=Waziri wa Ulinzi
=Waziri mambo ya ndani
=Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa
=Waziri Ofisi ya Rais
=Mkuu wa mkoa Dar es Salaam
=M/Kiti kamati ya ulinzi na usalama(Bunge)
 
Jamani sio kilakitu ni lazma kukiweka wazi... kunavitu vingine nadhani ni siri zaid kwahivyo vinafanyika lakini kwa kufata kanuni na misingi ya kazi yenyewe... kama hiki chombo kingekuwa hakifanyi kazi ipasavyo cdhani kama tungeendelea kuwa na amani na utulivu huu tulionao hadi sasa!!
 
Nadhani maswali haya hakuna mtu wa kuyajibu ki ufasaha kwani tumezoea kujiita sisi ni nchi ya tatu kwa upelelezi Duniani na hivyo tunafichana mambo mengi sana ya muhimu yanayolihusu Taifa hili na ndiyo maana tunaelekea huku tulipo kwa sababu hatua sera za uwazi wa ki ukweli na badala yake tunafichana hata mambo ya maana ambayo yanatakiwa kuchambuliwa kwa kina. Ila kwa mtazamo wangu nadhani litakuwa na watu wafuatao kama sijakosea 1. Top 6 Ambao ni ma Rais wote bara na visiwani, na makamu wao pamoja na PM. 2. Mkuu wa Majeshi 3. Mkurugenzi wa Idara ya Ujasusi TISS 4. Mkuu wa Jeshi La Polisi IGP 5. Mwenyekiti ya kamati ya Bunge ya ulinzi na usalama (Lowassa) 6. Waziri wa Ulinzi 7. Waziri wa mambo ya ndani 8. Katibu Mkuu Kiongozi na pia kama kutakuwa na ongezengo la wajumbe nadhani wanaongezwa kulingana na nini kinajadiliwa huu ni mtazamo wangu kama mwingine ana cha ziada tufunguane mamcho tafadhali.
 
Mi nahisi baraza hili ni kwa usalama wa CCM na sio kwa taifa kwani member wake wote ni Vigogo wa Chama Changu Mwenyewe
 
...nitoe mwongozo ktk masuala haya ya kiintelenjensia:
1. Baraza la Usalama wa Taifa (National Security Council) ni chombo kilichoundwa na Bunge mwaka jana (2010) kwa sheria kamili.

2. Wajumbe
. Rais wa Tanzania (Chairman)
. Makamu wa Rais wa Tanzania
. Rais wa Zanzibar
.Katibu Mkuu kiongozi wa Zanzibar (...kwa sasa ni Makamu wa Rais wote wale wawili wa Zanzibar)
.Waziri Mkuu wa Tanzania (Secretary)

Ni chombo maalumu cha JUU KABISA cha kushugulikia jambo lolote linalohatarisha au linalotaka kuharibu Usalama kwa RAIA WA TANZANIA


Baraza huketi kwa wakati uliomuliwa na linaweza kumwita na kumshirikisha/kuwashirikisha VIONGOZI wengine wowote kulingana na suala ambalo linajadiliwa pale, hiyo ndiyo tutakuwa tumesema kwamba, chombo hiki ni cha Kitaifa kwa sababu wanaokaa pale ni wale Viongozi wa Kitaifa.
hapo nilipo bold-mbona sasa hawafanyi hivyo?
 
Back
Top Bottom