MCT ni wasimamizi na warasimishaji wenuTofautisha NECTA na MCT, kwanza MCT hawakuundwa kwa ajili ya kutoa mitihani, NECTA ni chombo cha mitihani. NECTA ipo kwa ajili ya mitihani, isipofanyika kuna madhara, MCT mitihani isipofanyika hakuna madhara kwa sababu haikuwepo tangu enzi. Hata nchi za Wenzetu hawana Ujinga huu.
Tuoneshe ni fani ipi au ni nchi gani kuna Pre and Post internship? Umewahi kuona au kusikia wapi?MCT ni wasimamizi na warasimishaji wenu
Fanyeni papers
Mwongozo wa WHO hakuna Preinternships, hakuna mtihani wa postinterndhip.Wanafunzi hupimwa na madaktari bingwa kwa Vitendo1. Then huo pre internship unasaidia vipi kuhamonize uelewa wa hao wanafunzi?
2. Kwanini harmonization isifanywe na TCU kwa kufanya curriculum ziwe sawa
3. Mie sio daktari lakini nilifikiri medical profession inafuata muongozo wa WHO hivyo curriculum kutotofautiana sana
Kakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.Hawa vijana wa siku hizi wamekengeuka
Wana viongozi wanaowaangamiza kabisa
Ni rahisi kuvuka hata three intakes za watarajali na Bado sekta isione impact kwasababu nafasi za ajira Bado ni ndogo
Vijana wajitafakari
Haelewi chochote huyoUsichanganye madesa. Hii ni field ambayo watu wanaenda ku deal na Uhai wa watu.
Kwenda Intern ni kama tayari wewe ni Daktari kamili. Ndio maana Sheria iliwataka waape ndipo waende intern. Je! SHERIA IMEBADILIKA? Nani kaibadili? Kwanini? Je! Ilipitiwa na mamlaka husika na stakeholders. Tupe majibu!! Msicheze na UHAI WETU.
Fanya paper Acha umamaTuoneshe ni fani ipi au ni nchi gani kuna Pre and Post internship? Umewahi kuona au kusikia wapi?
Mmejisahau kabisa kwamba rate ya production yenu ni kubwa kuliko absorption capacity ya mfumoKakuambia nani, hebu wafanye hivyo mwaka mmoja wanaine impact yake. Si waliondoa kigezo cha kwenda kufanya kazi mpaka mtu afaulu preinternship? Kwanini waliondoa? Warudishe uone hali itakavyokua mbaya.
Haww vijana wanataka kuleta ukanjanja kwenye profession.MCT ni wasimamizi na warasimishaji wenu
Fanyeni papers
Nyie ni "Late Adopters" kwenye "Change Process"...Kichwa chako kimejaa maji tu? Unapimaje utofauti wa vyuo kwa maswali ya kuchagu kwa masaa 3? Kupima vyuo ni kazi ya MCT? MCT wanapima wanafunzi au madaktari?
Aliyemaliza internship na ambaye hajaanza yupi ni Daktari?
Unaandika ujinga!
Msilete siasa kwenye profession
Waziri hasimamii ubora wako yeye anasimamia Sera
Msimuingize mh waziri kwenye mgongano usio na sababu
Fanyeni mitihani
Ninyi Bado hamjatambulika kwenye fani hadi mfaulu
Wanasheria wamekubali na wametulia
Mnachofanya ni kumharibia mh waziri kibarua chake
Hakuna anayekataa mitihani. Sheria iliyoanzisha mitihani hii ipo na imekuwa ikifanyika miaka yote.Wafanye mtihani, over!