Baraza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe

Baraza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KITABU KINACHOHUSU MATESO KATIKA JELA YA KIINUA MIGUU BAADA YA KUUAWAKWA MZEE KARUME 1972
Toka jana baada ya kutoka taarifa ya kuahirisha uzinduzi wa kitabu kwa kuwa hakijapitishwa na BAKIZA ghafla utulivu wa simu yangu umepotea.

Nimepokea msg nyingi sana nikiulizwa maswali mengi kuhusu maudhui ya kitabu chenyewe na mengine kutaka kujua sababu ya kusitisha uzinduzi wa kitabu.

Kazi ya kuchosha na maswali ambayo sina majibu yake.
Wapi kitabu kitapatikana?

Kinauzwa bei gani?
Haya mbona hatukuyaona huko nyuma kwenye vitabu vingine?

Mwishowe nimeombwa mahojiano.
Hapo juu picha za mahojiano leo mchana.

Najua nitaulizwa kipindi kitarushwa saa ngapi?
Nimefarajika na mwamko ulioletwa na kitabu hiki cha Ibrahim Hussein.

Tuwe na subra In Shaa Allah tuendelee na mengine.
Hapo chini nakizungumza kitabu na Mohamed Ghassany:


View: https://drive.google.com/file/d/1YHbuzDtFI9QhhLIamoJDY839iUhej1GF/view?usp=sharing
 
Back
Top Bottom