Barbara afunguka

Waliowahi kufanya kazi kwa wahindi kama kina Mo wanajua hali halisi, nenda siku moja kule kwenye viwanda vyake kuulizia mishahara anayolipa, na hivyo ndivyo alivyo, kweli anamwambia manara aondoke kisa kamzidi umaarufu πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ni swala la muda tu, Simba kutakuwa na mvutano wa kurudishiwa klab yao alafu Mo anadai bilion 20 zake za hisa + zile 20 nyingine alizozitaja majuzi kutumia kuiendesha simba, Huu mtego simba hawaji kuja kuchomoka. Mtego wa deni

Na simba waombee tu mambo ya familia yasivurugike huko,maana familia ikipata dosari tu imekula kwa simba.
 
Hii ni vita ya MANARA vs MO&CO. Wengine mnaingilia yasiyowahusu. Nawashangaa wanachama na mashabiki wengine wa Simba ambao wanataka kufanya ugomvi huu kuwa ugomvi wa timu nzima. Yaani Majaliwa akigombana na dereva wake unakuwa ugomvi wa Kitaifa?
 
Hii ni vita ya MANARA vs MO&CO. Wengine mnaingilia yasiyowahusu. Nawashangaa wanachama na mashabiki wengine wa Simba ambao wanataka kufanya ugomvi huu kuwa ugomvi wa timu nzima. Yaani Majaliwa akigombana na dereva wake unakuwa ugomvi wa Kitaifa?
Manara kaichafua Simba sisi wana Simba tuna haki ya kumjibu
 
Hakuna mwajiri anayelipa vibarua mishahara kufuru.

Unataka waache kazi. Serikali yenyewe kila siku tunailaumu mishahara duni.

Usipotosheka nenda kapambane mtaani.
 
Hichi namimi ndicho nilichokiwaza baada kuona watu wanampinga manara, kwa muhindi hataki mfanyakazi ufanikiwe maisha
 
Mo anadai wapi, kwa sheria ipi au ni kwa maneno matupu na porojo kama unavyodhani?
Hajj alicheleweshwa kufukuzwa. Hata aongee mara million 100, keshakufukuzwa. Kwanza angekua na akili, angetunza maneno. Wapo watu wengi wameondoka kwenye ajira lakini wanajua kuna leo na kesho. Akiba ya maneno ni muhimu hasa ukiwa mtu ambae bado unataka kuwa na ajira sehem nyingine. Kama inatakiwa recommendation kwa mwajiri wa kwanza, je atapa endorsement? Kwa kua hawa weledi, hawez kujua hilo!
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ nashangaa mno MO mwenye asilima 49 ana sauti kuzidi wanasimba wenye asilimia 51
 
Mo ni Tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ nashangaa mno MO mwenye asilima 49 ana sauti kuzidi wanasimba wenye asilimia 51, nlidhani maamuzi yanafanywa na wenye asilimia 51.
 
utapeli wa wahindi tunajua wamemdhulumu huyu mtu..
Kawafanyia kazi kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…