Waliowahi kufanya kazi kwa wahindi kama kina Mo wanajua hali halisi, nenda siku moja kule kwenye viwanda vyake kuulizia mishahara anayolipa, na hivyo ndivyo alivyo, kweli anamwambia manara aondoke kisa kamzidi umaarufu [emoji23] [emoji23]
Ni swala la muda tu, Simba kutakuwa na mvutano wa kurudishiwa klab yao alafu Mo anadai bilion 20 zake za hisa + zile 20 nyingine alizozitaja majuzi kutumia kuiendesha simba, Huu mtego simba hawaji kuja kuchomoka. Mtego wa deni
Na simba waombee tu mambo ya familia yasivurugike huko,maana familia ikipata dosari tu imekula kwa simba.