Barbara afunguka

Barbara afunguka

😂 😂 nashangaa mno MO mwenye asilima 49 ana sauti kuzidi wanasimba wenye asilimia 51, nlidhani maamuzi yanafanywa na wenye asilimia 51.
Yaani Simba wametapeliwa na Mo. Ila ndo hivyo hawajui watafanyaje. Huyo jamaa yeye na familia yao mali zao wamezipata kwa kutapeli mali za serikali miaka na miaka kwa hiyo ni wazoefu kwenye sekta ya utapeli. Kiufupi Mo ni tapeli.
 
Tafuta hela tafuta pesa vinginevyo utaumwa hata Na mbwa yako.!
 
HAJI anatumika tu na WAARABU (GSM,ASAS NA AZAM) kwa maono yangu BINAFSI hapa ni vita ya KIBIASHARA KATI YA WAARABU NA MHINDI .

Hapa wanaona MO anaweza kuwa maarufu sn AFRICA au kufanikiwa kibiashara sn endapo TIMU ya SIMBA itafika mbali sasa hapo ni wivu wa WAARABU hao watu naturally yao ni mahasidi.

I will guarantee kamaYANGU watasema wanauza hisa zao KAMA walivyo fanya SIMBA hao GSM hawezi kuweka hela za kununua hizo HISA I'm 100% sure hawa wezi fanya hivyo hata siku moja.
 
Waliowahi kufanya kazi kwa wahindi kama kina Mo wanajua hali halisi, nenda siku moja kule kwenye viwanda vyake kuulizia mishahara anayolipa, na hivyo ndivyo alivyo, kweli anamwambia manara aondoke kisa kamzidi umaarufu 😂 😂

Ni swala la muda tu, Simba kutakuwa na mvutano wa kurudishiwa klab yao alafu Mo anadai bilion 20 zake za hisa + zile 20 nyingine alizozitaja majuzi kutumia kuiendesha simba, Huu mtego simba hawaji kuja kuchomoka. Mtego wa deni

Na simba waombee tu mambo ya familia yasivurugike huko,maana familia ikipata dosari tu imekula kwa simba.
Watu mnao ishi kwa hisia hapa bongo simba itaendelea kutamba kwa aina hii ya washabiki wa utopolo
 
Waliowahi kufanya kazi kwa wahindi kama kina Mo wanajua hali halisi, nenda siku moja kule kwenye viwanda vyake kuulizia mishahara anayolipa, na hivyo ndivyo alivyo, kweli anamwambia manara aondoke kisa kamzidi umaarufu [emoji23] [emoji23]

Ni swala la muda tu, Simba kutakuwa na mvutano wa kurudishiwa klab yao alafu Mo anadai bilion 20 zake za hisa + zile 20 nyingine alizozitaja majuzi kutumia kuiendesha simba, Huu mtego simba hawaji kuja kuchomoka. Mtego wa deni

Na simba waombee tu mambo ya familia yasivurugike huko,maana familia ikipata dosari tu imekula kwa simba.
Wahindi wana roho mbaya sana.....tena ile bodi ya Simba ina watu sio kabisa...
 
Wahindi wana roho mbaya sana.....tena ile bodi ya Simba ina watu sio kabisa...
Manara aache umalaya kutaka kutumikia mabwana watatu kwa wakati mmoja. Mo, GSM na Azam! Sasa amekosa kote.
 
Back
Top Bottom