Barbara amjibu Mo Dewji

Kwahiyo imekuwa uwanja wa mabango
 
Ila mo ana pesa zote kapauka sana ile Simba day anaonekana kama sio boss vile, huyu jamaa kama Hali poda sijui....Yale Yale ya kina manji..... Ila haka ka babra boss kubwa inaonekana alikapiga pipe hakukatimizia ahadi ndo maana kanaumia sana... Maana chupli chupli nae janja janja nyingi....
 
Malaya mwenye machungu. Kakopwa kipochi manyoya na Kanjibhai.
 
Katika zile B 20,sasa hivi ni aongezea hizi tatu,haya tuna subiri tuuone usajili wa 3B jioni.
 
They just bluffing and fooling around
 
Ila huyu Mo nina mashaka hasa na utajiri wake. Jamaa ana mipasho kama kina Mwijaku. Kutwa kujibizana mitandaoni.

Nahisi wale watekaji walimfanya mchezo mbaya kuathiri uanaume wake.
Hamzidi tajiri la dunia Elon musk....
Au wewe siyo mfuasi wa Twitter x?
 
Hamzidi tajiri la dunia Elon musk....
Au wewe siyo mfuasi wa Twitter x?
Elon ni mmiliki wa Twitter ana create controversy kwa ku tweet vitu vya ovyo saa nyingine ili ku promote mtandao wake.
 
Yani Yanga mnatia aibuuu...kwahyo mnakula chabo kwny tweets za watu then mnakuja na majibu yenu
 
Elon ni mmiliki wa Twitter ana create controversy kwa ku tweet vitu vya ovyo saa nyingine ili ku promote mtandao wake.
Hapana, Elon Musk naye ni kama mzaramo tu. Hajaanzia mipasho twitter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…